ofcourse hakuna mtu anataka political fed or anybody land,hayo mambo invented na watu wasiotaka EA ,Uganda na Rwanda wanataka kupunguza gharama za usafirishaji na kuondoa usumbufu wa kufanya business within EA na ndio maana wanafanya hizo projects na Kenya kitu ambacho walianza na TZ lakini for some reasons hakikufanyika,sijawahi kumsikia hata siku moja Kagame akiongelea ardhi ya nchi nyingine au siasa na practically tunaona wanachofanya is all business na hakuna agenda ya siri au sijui Uhuru kuwachomelea political FED hizo zote ni fantasy tuu na wishfull thinking ambazo hazina maana yeyote,na ukweli forget na hakutakuwa na political fed at least in our lifetime..focus kwenye business kupunguza umaskini within EA na ndio point ya kuwa na EA sio blah blah za siasa ambazo hata CCM na CHADEMA wenyewe tayari ugomvi then leo ndio uingizer RPF or sijui KANUCattleRustler,
..wakati tunaisaka Tanganyika hawa jamaa wanatuletea habari ya muungano mwingine.
..Kenya wako kibiashara zaidi, wanachotaka ni bandari yao iwe na wateja wa kudumu.
..Rwanda na Uganda wakishaunganishwa na reli kutoka Mombasa, Kenyatta atawachomolea kwenye suala la federation.
cc Koba, murutongore, Young Tanzanian