At age of 25 still need to go back home, u must be jocking:oops: Unapotafuta maisha, jitahidi sana kuwa positive katika safari yako nzima, umri ulionao sio mdogo wa kukumbatiwa na ndugu, jitahidi usome unachosoma, ukaafute maisha mbele ya safari, usije ukajenga hiyo negativity yako ikamfikia...