Recent content by Mugowakibiro

  1. M

    Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Hawa jamaa walio vaahizi nguo sio chadema ni wale wale Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

    Mkuu uko sahihi 100%,Hao jamaa ndivyo walivyo,nimeishi Rwanda miaka 10,Burundi na karagwe,vision yao ni ku create tutsi empire, lengo lao likiwa ni kuitawala Africa mashariki na kati, Ni kweli ishu ya kubambikiwa mtoto hata uku kwetu ipo,ila kwa hawa jamaa kwao ni too much pia kabila hili...
  3. M

    Uhamiaji Tanzania

    Jamaa wa uhamiaji wanazingua sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Uhamiaji Tanzania

    Unaweza ukamaliza taratibu zote mpaka finger print na bado kupata passport ni shida ukienda uhamiaji unambiwa njoo baada ya wikibili Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

    Haya ni baadhi ya vikosi vya kijeshi vya us Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kilichomtokea Mjapan ipo siku kitamtokea Muajemi Iran

    Hata kwenye vita vilivyopigwa kati ya us na Iraq naadhi ya wabongo walimuunga mkono sadam lakini kilicho kuja tokea madhani wanajua. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Kilichomtokea Mjapan ipo siku kitamtokea Muajemi Iran

    Yellow people's ni watu wa fake fake tu kaka,hawana technology yoyote isipokuwa duplicate tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    UKIMWI wa miaka hii hauna nguvu. Vijidudu/Virus vimenyong'onyea, vimekata pumzi

    Ngoja ukupate ndio utajua una mguvu au laa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Kwa wazoefu wa Tv.. Msaada juu ya skyworth smart tv

    Skyworth ni the best tv kwa hivi sasa iko vzur sana na dunian sasa ivi ipo kwenye top five kwa china ni namba mbili ya kwanza ikiwa ni hisense
  10. M

    Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

    Hii inategemea na aina ya TV ulio nayo quality yake
  11. M

    Nimepata fursa ya kwenda USA

    Kama umetoa pesa imekwenda na hicho ndicho nilichokua namaanisha mkuu
  12. M

    Nimepata fursa ya kwenda USA

    Pole sana kijana umeliwa.
  13. M

    Mchungaji Anthony Lusekelo aibukia kwa Rais Magufuli aonya makanisa kutumika

    Katika ulimwengu wa sasa vitu kama hivi ni vya kawaida sana aioni jambo geni
  14. M

    Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Ndugu Hapo hakuna ujanja wala sayansi yeyote, ya kupata mtoto wakike au kiume,wako wengi wamejaribu sayansi hio na wameambulia patupu swala la watoto ni Mungu ndie anayepanga na wala si mwanadam
Back
Top Bottom