Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

Azam ni decoder nzuri tu kiubora signal hazipotei ovyo wala nn km zikiwa signal zapotea pengine dish haikufungwa vema.
Lakin uendeshaji burudani sio mzuri km wa startimes au dstv.
Mithli km startimes kuna channel za burudani kabambe ambazo ni nzuri zitakufanya uikodolee tv all time mfano stv kungu ,star movies plus, star Bollywood swahili na Tabibu ila wameitoa.
Asa hawa azam tv mpangilio wao wa kuendesha vipindi disgusting labda kwa mpira somehow wamejitahidi.ila burudani zingine noop.
All at all azam tv kwa ubora wako vizuri lakin uendeshaji vipindi ndio disgusting
Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi?
Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
 
Hizo waya ndiyo zip mkuu?
71pFDaZU8lL._SL1500_.jpg
 
Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi?
Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
Wewe utakua Team Tbc.... Unaongelea Azam ipi?
 
ubora kwenye upande upi kiongozi? kama ni quality basi tambua kuwa most of channels za Tanzania hazina quality nzuri badilisha station. King'amuzi chao kinaruhusu kupokea channels za HD 720p Hakikisha unatumia waya wa HDMI sio zile AV Cables.
Hii inategemea na aina ya TV ulio nayo quality yake
 
Hii inategemea na aina ya TV ulio nayo quality yake
Mkuu Lg nchi 32 nikitumia HDMI si itaonekana clear, ukienda kwenye maduka yanayouza tv yaan utapenda jins picha zilivyo safi, ila ukipita kwenye nyumba za wadau daah picha zimefubaa kinoma noma , tena unakuta flat screen kubwa lakn picha miyeyeyusho, unajiuliza shida ipo wap au ni camera za channel husika?? mfano ukute taarifa ya habar ITV toka pande za namtumbo duuh yaan picha ya pale unaweza taman bora tv za chogo...
 
Back
Top Bottom