Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Wakuu habarini!!!

Leo nimeamua kukushirikisha katika mjadala huu kuhusu siku gani mtoto wa kiume anaweza tungwa kwa kufata njia ijulikanayo kama kalenda.

Siku zote mwanamke huwa na siku 28 katika mzunguko wake wa hedhi,hivyo basi siku zake huwa zimegawanyika katika makundi kundi.

Kundi namba moja ni siku za hedhi,ambazo uchukua siku tano kwa mwanamke asiekuwa na matatizo 1--------5 ila wengine huwa damu inakata kwa siku tatu na wengine mpaka siku saba ambayo kisayansi mwanamke anaefikisha siku saba huwa na mattizo katika mzunguko wake uenda hata mimba asipate.

2.kundi la pili uchukua siku 6--------10.kitaalamu ujulikana kama siku salaama sana,yaani mwanamke akitoka hedhi tu anaweza Fanya mapenzi bila kupata mimba.

Kundi la tatu ni siku hatari ambazo kwa kawaida ndo mimba utungwa.uchukua siku ya 11-------17 toka siku ya hedhi. hizi siku huwa ni hatari San katika mzunguko wa mwanamke hasa siku za tarehe 12,13,14,15 hizi siku ndo hatari na hapo ndo mtoto wa kiume utungwa.

Mtoto wa kiume utungwa hasa siku ya 13 au 14 kwani bengu zinazoingia kwenye mfumo wa uzazi kutoka kwa mwanaume ni begu mbili ya kwanza ni "x" ambayo huwa ni mbegu za kike na "y" amabazo huwa ni bengu za kiume

Mbegu za kiume ukimbia sana kuwai yai katika mfumo wa uzazi ikilikuta yai halipo katika mfumo wa mwanamke ukaa pale nje na kusubili kwa Massa 48 yaani siku mbili.

Lakini mbegu za kike uenda taratibu wakati wa kufata yai.hivyo basi ukaa kwa muda mwingi kulisubili yai yaan siku siku mbili na nusu hadi siku tatu.

NJINSI YA KUZAAA MTOTO WA KIUME????

Itaendelea soon!

Zingatia, Nitakuletea picha tumbo la kike na kiume yanavyokuwa wakati mimba ishatungwa.
FB_IMG_1480596563144.jpeg
 
Ndugu Hapo hakuna ujanja wala sayansi yeyote, ya kupata mtoto wakike au kiume,wako wengi wamejaribu sayansi hio na wameambulia patupu swala la watoto ni Mungu ndie anayepanga na wala si mwanadam
 
Ndg me na madume tupu nishahangaika kupata wa kike mpk kwenda hosp na wife tukafata ushaur wote but tukaambulia dume
Nimetoka nje ili nipate wa kike but still nimepata wa kiume
Nashida na wa kike kwa gharama yoyote ile (hata kwa pesa sio shida)
 
Wakuu habarini!!!

Leo nimeamua kukushirikisha katika mjadala huu kuhusu siku gani mtoto wa kiume anaweza tungwa kwa kufata njia ijulikanayo kama kalenda.

Siku zote mwanamke huwa na siku 28 katika mzunguko wake wa hedhi,hivyo basi siku zake huwa zimegawanyika katika makundi kundi.

Kundi namba moja ni siku za hedhi,ambazo uchukua siku tano kwa mwanamke asiekuwa na matatizo 1--------5 ila wengine huwa damu inakata kwa siku tatu na wengine mpaka siku saba ambayo kisayansi mwanamke anaefikisha siku saba huwa na mattizo katika mzunguko wake uenda hata mimba asipate.

2.kundi la pili uchukua siku 6--------10.kitaalamu ujulikana kama siku salaama sana,yaani mwanamke akitoka hedhi tu anaweza Fanya mapenzi bila kupata mimba.

Kundi la tatu ni siku hatari ambazo kwa kawaida ndo mimba utungwa.uchukua siku ya 11-------17 toka siku ya hedhi. hizi siku huwa ni hatari San katika mzunguko wa mwanamke hasa siku za tarehe 12,13,14,15 hizi siku ndo hatari na hapo ndo mtoto wa kiume utungwa.

Mtoto wa kiume utungwa hasa siku ya 13 au 14 kwani bengu zinazoingia kwenye mfumo wa uzazi kutoka kwa mwanaume ni begu mbili ya kwanza ni "x" ambayo huwa ni mbegu za kike na "y" amabazo huwa ni bengu za kiume

Mbegu za kiume ukimbia sana kuwai yai katika mfumo wa uzazi ikilikuta yai halipo katika mfumo wa mwanamke ukaa pale nje na kusubili kwa Massa 48 yaani siku mbili.

Lakini mbegu za kike uenda taratibu wakati wa kufata yai.hivyo basi ukaa kwa muda mwingi kulisubili yai yaan siku siku mbili na nusu hadi siku tatu.

NJINSI YA KUZAAA MTOTO WA KIUME????

Itaendelea soon!

Zingatia, Nitakuletea picha tumbo la kike na kiume yanavyokuwa wakati mimba ishatungwa.View attachment 1107954
Yani unataka watu tuache kaze tushinde hapa kusoma makala yako ya kukopy na kupest hapa
 
Ndg me na madume tupu nishahangaika kupata wa kike mpk kwenda hosp na wife tukafata ushaur wote but tukaambulia dume
Nimetoka nje ili nipate wa kike but still nimepata wa kiume
Nashida na wa kike kwa gharama yoyote ile (hata kwa pesa sio shida)
Tumia artificial insemination hata kama nimapacha utapata tu
 
Asante kwa elimu na hongera kwa mutokua mbinafs ukaamua kushea elimu yako na wengine...
Kuna mbwa hapa wangetumia advantage wangeita watu PM wangetoa na namba watafutwe wafanye biashara
 
Anae jua atusaidie hapa kuhusu muda sahihi wa kumpata mtoto wa kiume ni upi hasa, maana hapa naona kila mtu kasema lakwake tu bila majibu ya msingi kupatikana.
SAIDIA KWA MSAADA WA WOTE WANAO HITAJI MTOTO WA KIUME.
 
Ni kweli kuhusu spidi ya mbegu lakini tendo siku ya 14 kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 lina uwezekano mkubwa wa kutoa msichana. Siku ya 14 ni siku ambayo yai utoka katika ovari (yaani ovulation) kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28. Yai linachukuwa siku kadhaa kutoka katika ovari kufika kwenye fallopian tubes ambako huonana na mbegu na kutunga mtoto..
Nitalitolea ushuhuda soon
 
raha sana kwanza ile kuona alfajr kamesimamisha yap yap unaona jogoo kabisa..

Kwahiyo huwa unapenda kuuangalia mkuyenge?
 
Wakuu hamjambo,

Nimejifunza kutopuuza uchunguzi na ushauri Wa wataalamu,..
Watu tumefanya hayo ten yrs back inawezekana sana mradi tu mke mzunguko wake wa mwezi usiwe wa kubadilika badilika rahisi sn tatizo watu wengi hawaamini hilo, "Mungu ndie muumba pekee"
 
Back
Top Bottom