Recent content by Mugondo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nishaurini flat Tv ya kampuni gani ni nzuri kununua kwa sasa

    Nunua MICROMAX, nilinunua miaka sita iliyopita, haijawahi kuwa na kwere! Na ni Smart TV. Tena nilinunua kwa jamaa wa humu humu yupo Zenji. Tafuta thread ya TV ina mambo mengi utampata
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Sadist!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Unaweza usielewe tunachojaribu kukwambia, ila kama umeshapata mtoto wa kike, yatamkuta kisha utaona kama utaweza kuhimili kumpiga spana mtoto wako mwenyewe. Ikiwezekana upate mfano hai wa mtu wako wa karibu, ili uweze kuona ule upande usiotaka kuuangalia.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Una maneno makali sana, alafu unaamini sana kwenye fikra zako! Unadhani kila kilichomo kwenye akili yako ndo kiko hivyo hivyo kwenye uhalisia. Nataka nikwambie kuwa unakosea, tena sana! Jifunze kuwaza nje ya box, jifunze kuwa na flexible mind & jifunze kuwa tayari kusikia hata usiyopenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

    Daaah uliona mbali mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Azam app inakula mb kiasi gani kwa mechi moja?
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Miti ipi? Sijaelewa...naomba ufafanuzi plz. RIP Maunda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Simba inaweza kuachana na Bwalya

    Mzamiru mtu na nusu wewe...anaachwaje kwa mfano!?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari Dr. Mgonjwa ameambiwa kuwa phosphorus imezidi kwenye mwili, je afanyeje au atumie dawa gani ili afya yake irejee upya?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Uzoefu wangu wa TTCL ni mzuri, sema tu endeleeni kuboresha zaidi na zaidi. #HakikaNyumbaniKumenoga
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakari: Funika aibu zao na sio kuwaaibisha

    Somo kubwa hili.
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Naunga mkono hoja. Na kwa kuongezea, watengeneze namna ambayo kila mtu utaona wategemezi wako. Ili mtu usije kukuta kuna watu waliopachikwa kama wategemezi wako bila kuwa na taarifa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa na hasira: Abdi Banda adai Simba inamtaka

    Kaenda Mtibwa sasa [emoji4]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Ina faida zipi? Unaweza kufafanua boss?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

    Inaelekea bado hajapata mkataba wa kueleweka au mkataba wenye donge nene. Kama angepata dili la maana asingeleta chokochoko kwa mwajiri wake wa zamani! Anachofanya anaonesha ana uchungu wa hali ya juu! Yaani anaumia mno mno!
Back
Top Bottom