Recent content by Mugisher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli anapendwa sana!

    Sometimes you amuse me. Full of shit.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Membe 'aitesa' CCM, wanachama wajipanga 'kumrudisha' chamani kwa namna yoyote

    At times you're like water - which makes it very hard on us to keep up with you. Mara moto mara baridi. Please be consistent.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kuna watu kila jambo la maendeleo linalofanywa na Serikali wanachukia?

    Kama huyu jamaa erythrocyte.109263, ni kati ya watu hopeless sijapata kuona. Halafu yeye anajiona bonge la smart.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

    You write like a diva. Man up and write like a man. "unachekesha kweli !"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

    Heshima ni kitu cha bure, hakilazimishwi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

    What's your point?
  7. M

    JamiiForums Tanzania TCRA acheni uvivu na kutowajibika, fungieni hizi online TV's

    Inanishangaza kuona kuwa msimamizi wa mawasiliano Tanzania, TCRA, yuko kimya na hachukui hatua zozote dhidi ya huduma za kiudanganyifu zinazotolewa na baadhi ya hizi online TVs. Kuna udanganyifu mkubwa na kutokuwa na uweledi unaohusisha hizi online TVs, ambao kwa kweli, lazima hatua stahiki...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa sasa jifunzeni kutoka kwa komando Salmin Amour

    😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa sasa jifunzeni kutoka kwa komando Salmin Amour

    Hivi wewe wakati mwingine huwa unaandikaga nini? Nicampoop.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

    Unataka aongee ili upate cha kuandika na kumkosoa? Acha unafiki
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna umuhimu wa kupiga kura 2020 wakati tume iko mfukoni kwa Rais?

    Afadhali leo umekuwa practical na realistic. Ila wenzako watapiga ngonjera wee ya hii kitu utadhani kwamba marekebisho ya tume yako njiani. Nashauri watu wote wasome thread hii.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

    Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu Kutoka kwenye kiwango na brand yenye nguvu iliyojitambulisha kwa hadhi yake sasa sio siri tena TIGO FIESTA NI DISCO TOTO. Kutoka kuleta wasanii wakubwa duniani kote mpaka sasa kulazimika kujifanya kupendelea cha kwetu tu. Kweli TIGO FIESTA...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ni mjivuni, mbinafsi na mwenye wivu sana

    Wengi wanadhani mwanamziki Ali Kiba hapendi makuu au hapendi kujionyesha, lakini hili si kweli. Huyu mwanamziki kwanza ni mbinafsi sana, ana majivuno na mwenye wivu sana. Mifano ni mingi kuonyesha haya mambo hasi kwake. 1. Mjivuni: ukimwangalia tu, kwa kuongea kwake, majibu yake anapoulizwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Magufuli; Anaacha Alama au Anaacha Maumivu?

    Eti halafu unajiona unaakili kweli. Watu wanataka kero na shida zao ziondolewe sio kuacha alama. Hiyo alama za kudumu alizoziacha JK au Nyerere mbona hazikuondoa kero na shaida za wananchi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Magufuli; Anaacha Alama au Anaacha Maumivu?

    Eti halafu unajiona unaakili kweli. Watu wanataka kero na shida zao ziondolewe sio kuacha alama. Hiyo alama za kudumu alizoziacha JK au Nyerere mbona hazikuondoa kero na shaida za wananchi?
Back
Top Bottom