Recent content by MUGHOMBA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wilaya zinazoongoza kutoa madokta(PhD) na maprofesa Tanzania

    Binafsi sikubaliani na huu unaouita utafiti. Haya naweza kuyaita mawazo na hisia binafsi. Nitafuta maneno haya pale utakapoeleza ni taasisi gani ilifanya utafiti. Otherwise futa neno utafiti kwenye heading yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizi Tengeru jijini Arusha

    Habari? Kwanza nikuambie pole kwa aliyekupa historia ya Siku za nyuma si sasa, Tengeru ni sehemu salama kama ilivyo sehemu nyingine. Wengi walisema usiku hapakuwa salama ila sasa hata ukifika kituo cha basi usiku utakuwa salama. Vijana wa bodaboda wamechangia sana kuleta utulivu na hawapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia 80 ya wanawake wanaotumia JF ni wasomi

    Asante kwa kututambua.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

    Mmmmh nina mashaka na taarifa yako. Magari yalikuwa 3 hilo moja ndilo lililopata ajali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye cheti hiki siyo feki

    Hivi huu ndiyo uelewa wako?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuangalia picha na video za ngono ni tabia mbaya na ni chafu sana

    Kw Somo nzuri sana, Mwenyezi tusaidie kushinda tamaa za mwili.
  7. M

    JamiiForums Tanzania John Stephen Akhwari; Mtanzania maarufu ulimwenguni kuliko hapa Bongo

    Kweli ndiyo nasikia habari za huyu Mtanzania ila ni habari yenye kufunza na kuhamasisha jamii kufanya kazi bila kukata tamaa. Nimemfananisha hiyo aliyemsukuma kama kikwazo ama changamoto tuzipitiazo katika maisha wakati wa kukamilisha ndogo zetu. Kikwazo hicho chaweza kutoka kwa yeyote kuanzia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali igeni mfano wangu katika suala la upandaji wa miti

    Wazo Zuri hongera
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama unampango wa kutumia Morogoro Road kwa sasa, badili njia ya kupita

    Kwa mtazamo huu wa mawazo inaonyesha ni jinsi gani maendeleo yatatunyatia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Poleni sana ndugu zetu, huu ni wakati wa kupata elimu sahihi ya kujikinga na majanga hasa matetemeko. Watu waelimishwe ni tahadhari gani za kuchukua kabla na ikitokea wafanye nini kwa usalama. Ni wakati mwafaka wa wenye weledi kutoa elimu ili kuwanusuru ndugu zetu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane somo ulolipenda shule ya msingi

    Sipati picha ulivyokuwa unaambiwa ulete viamba upishi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano waitishwa White House kuijadili Korea Kaskazini

    Mimi nina maswali yanayohitaji majibu kwa hicho watu wabashiricho: 1. Je bajeti ya USA na Korea Kaskazini ya kijeshi i a tofauti ya shilingi ngapi? 2. Je uzoefu wa kivita katika hizo nchi 2 unatofautianaje 3. Je ukubwa wa jeahi wa hizo nchi unatofautianaje? 4. Je tukiangalia support ya kivita...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sumu iletayo kansa yagundulika katika mbegu za Alizeti(sunflower seeds)

    Hii habari inasikitisha, ksma itathibitika kuwa kweli na TFDA hili ni pigo la kiuchumia kwa wakazi wa Singida mpaka Dodoma na pia ni pigo kwa sisi tuliojengwa na kuamini hayo ndiyo mafuta bora. Tuwaombe TFDA watoe tamko juu ya hili usije ikawa ni market competition inayofanywa ili tununue...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mdudu anayewasha taa ile balbu huwa anaitoa wapi?

    Mimi nafikiri ni vyema tukajifunza kutumia lugha zisizoudhi na kukera kumwambia mwenzako una thread za kipuuzi binafsi sijapendwazwa na kauli hiyo.
Back
Top Bottom