Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
Stadi za kazi kwa maana nilipenda kazi
Sina swali!mapumziko
Sipati picha ulivyokuwa unaambiwa ulete viamba upishiBinafsi nilipenda sana sayansi kimu hasa ikifika muda wa kupika shuleni tumepika sana pale nyanza primary.
MAARIFA YA JAMII lilikuwa somo ama MTIHANI?Maarif ya jamii ,sayansi, na hesabu
Hesabu. I could teach a class when i was in std 5.
MAARIFA YA JAMII lilikuwa somo ama MTIHANI?
Nilianza kupenda MASOMO nikiwa University.
Labda shuleni kwenu. Shuleni kwetu hakukuwa na somo linaitwa MAARIFA YA JAMII. Huo ulikuwa ni aina ya mtihani.Rudi darasani labda utaelewa!
Kuna nini?basi karudi chuoni
Kama mimi yaani.Maarif ya jamii ,sayansi, na hesabu