Mwenye cheti hiki siyo feki

Mwenye cheti hiki siyo feki

Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.

Wewe unasikitisha.... hii kitu ni kosa la jinai... identinty theft...
 
Kama huyo aliempa chet akiwa serikalin utakoma
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Kwa akili yako, leo ukiapa na kupata jina la Mrisho Jakaya Kikwete utakuwa ni rais mstaafu?
Hakika vyeti feki ni balaa!
 
Wanaapa kubadili majina au wanaapa kutumia vyeti visivyokuwa vya kwao? Yaani documents zisizo zako. Na wewe kaibe gari kisha badili jina lako ili gari liwe lako. Maana hakuna namna inabidi tuelekezane kwa level hiyo mkuu.
Naona kuwa mimi na wewe hatuwezi tukaelewana maana mimi ninakueleza kitu ambacho nimeshuhudia kikifanyika hata jana tu nimeshuhudia mahakamani watu wawili wakiapishana kuhusu umiliki wa mambo kama haya na ndiyo nikakuomba kuwa jaribu kutembelea mahakamani ili ushuhudie haya.
 
Siku za DAB kwenda Jela zinahesabika tarehe 15 sio mbali
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Sawa, ila tu kama utakuwa mwanasiasa au fani zingine ambazo hazikupitiwa na uhakiki wa vyeti. Vinginevyo utatumbuliwa tu, maana hamna jinsi!!
 
....

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

.....Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Una uhakika cheti chake si cha kufoji?
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
mtu baada ya kufeli form 4 au la saba kwanini usirudi shule tu ukasahihishe makosa yako, sio kuchukua cheti cha mtu mwingine... kwenda mahakamani kubadili jina shida zote za nini?
tatizo watu weusi tunapenda slope sana!
 
Mkuu hiyo ndo jinai kabisa.Yahani uchukue cheti cha kidato cha nne cha mtu then ukakitumie katika taaluma fulani then ukaenda kuapa mahakamani ili utambulike kwa jinahilo jipya inakuwa si kosa!!.Ingekuwa hivyo vyeti vya marehemu vingekuwa vinauzwa madukani then mnunuzi anaenda kuapa mahakamani tu.

Kwa hiyo mahakama ilidanganywa.? Kama ilidanganywa, una njia yoyote ya kuisaidia itengue huo uongo.? Kuweni wavumilivu, visabengo wenu Lisu na Boniface Jacob si tayari wameshaenda kwenye sheria.?

UKAWA hamnazo kweli, yaani mnadhani kuja kulalamika humu ndo mnapata haki zenu za kisheria. Mbona mwenyekiti wenu DJ darasa la saba lakini mnamwabudu kila analoamua mnafuata tuu kama kondoo wa kafala.

UKAWA wakubwa nyie, kidogo tu Makonda, kidogo tu Makonda. Si mwende akawape mimba ili muwe na kumbukumbu nae nzuri.
 
Wanaapa kubadili majina au wanaapa kutumia vyeti visivyokuwa vya kwao? Yaani documents zisizo zako. Na wewe kaibe gari kisha badili jina lako ili gari liwe lako. Maana hakuna namna inabidi tuelekezane kwa level hiyo mkuu.
Mkuu umesema haswa maana watu nazan hawaelew forgery's zilizohakikiwa, hapa halmashauri walipita kuangalia validity ya cheti kama ndio chenyewe au kimechezewa lkn sio kuangalia nani anakitumia. Necta walivyokuja hawakutaka kuonana na mhusika Bali wao waliishia kwa afisa utumishi na hata zile DEED POOL walizipokea tu
 
Halafu angalia vitu vya kuweka kweny jukwaa,,hii c ndo miaka 7 INA kuhusu?
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
MIMI NI MWANACHAMA MWENZAKO KATIKA CHAMA CHETU CHA SIASA ILA SIO JUHA KAMA WEWE
 
Nina wasiwasi na wewe huenda na wewe umekumbwa na sakata la vyeti feki acha kulisha wenzio matango pori hapa hakuna cha kuapa mahakamani wala wapi kama ulisomea cheti cha mtu mwengine wewe ni feki kama BASHITE tu

Kilichokuacha ukane jina lako ni kipi huo si ukichaa...

Makanjanja ndivyo mlivyo kutetea vitu hovyo

Ukisomea jina la mtu = FEKI kama BASHITE wa KOLOMIJE
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Hiko cheti siyo feki wala siyo cha forgery. Tatizo watu hawajui ama wanayatumia vibaya maneno haya ya kiingereza, 'fake and forgery' kwenye lugha ya kiswahili.

Huyo jamaa uliyemwelezea ametumia cheti cha wizi cha kidato cha nne kujiunga na masomo ya chuo husika. Alitumia cheti cha wizi na si cheti feki. Atashitakiwa kwa kosa la wizi wa cheti na kufanya utapeli huo. Kubadilisha jina ni mbinu ya kuficha wizi huo na haihalalishi wizi huo bali inaongeza kosa juu ya kosa.
 
Mkuu hiyo ndo jinai kabisa.Yahani uchukue cheti cha kidato cha nne cha mtu then ukakitumie katika taaluma fulani then ukaenda kuapa mahakamani ili utambulike kwa jinahilo jipya inakuwa si kosa!!.Ingekuwa hivyo vyeti vya marehemu vingekuwa vinauzwa madukani then mnunuzi anaenda kuapa mahakamani tu.
mkuu nimependa mfano wako...mfano wako ni hai kabisa
 
Back
Top Bottom