Recent content by mugajwale

  1. M

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Napenda kutoa maoni na pendekezo langu kwa muheshimiwa rais.wizara hii igawanywe tafta mbinu yoyote unganisha wazara nyingne lakini nishat na madin na gesi zitenganishwe.badala yake iwepo wizara ya nishati na wizara ya madini gesi na utafiti.hii itabeba madini yote yaliyochini ya ardhi ikiwa...
  2. M

    Tanzania itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli: Je, wazalendo wapo?

    Kwa mtazamo tu.tukiungana kama jumuiya ya pamoja tukaweka tofauti zetu pembeni tunapiga hata bila hata kutegenea masharti ya wahisani
  3. M

    Vyuo vikuu wavae uniform wakati wa darasani,wadau michango tafadhari

    Ifike mahala wanachuo wavae sare,zinawajenga haiba waendapo makazini. Wengi huvaa hovyo wakati wa darasani.
  4. M

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Black mamba ana nyama tamu kama kamongo,na kama mjuavyo kamongo wa ziwani ni mtamu kushnda nyama ya kuku,uliza mujaluo
  5. M

    PSPF wakaidi agizo la N/Waziri wa Fedha kulipa wastaafu

    Yani PSPF sio mfuko rafiki hata kdogo,utadhan ndo imeingia kwnye ushndan,ovyo kbs,PSPF full kujifia,tunalaan sana
  6. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    hawa watu wazma wana mambo meng,mizimu pia hufanya kazi
  7. M

    Mapya yameibuka kuhusiana na tukio la kuuawa majangili Dar es salaam

    Wanajesh wana nidham sana,nina hakika wakitumia JW,kwa rotation,ujangili unakoma,madawa yanaisha,tubadli sheria itasaidi
  8. M

    Mapya yameibuka kuhusiana na tukio la kuuawa majangili Dar es salaam

    Imefka wakt tutengue vifungu vya katiba,jesh la wananch walinde vitu muhm km maliasili,bandari,viwanja vya ndege nk.
  9. M

    PSPF wakaidi agizo la N/Waziri wa Fedha kulipa wastaafu

    Mods,tafadhari sticky huu uzi,ili wengi wapite hapa,maana ni tatzo kubwa la jamii,tafadhari usiondoe hii habari
  10. M

    Chifu mangungo wa msovero,uongozi wake unafananishwa na waziri yupi?

    Tujikumbushe sifa za huyu mtemi chifu mangungo,alikuw na kariba gn ktk uongoz wake? angekuwa wazr angefanana na nan?
  11. M

    Pesa ya elimu ya Bure zaweza kuwa kiama huko zinakopelekwa

    Mimi nashauri,signatory mmoja awe ofisa wa takukuru,dso,au mkurugenz,wanapoandka muhtasar wakmalza,hao maafsa wasain
  12. M

    PSPF wakaidi agizo la N/Waziri wa Fedha kulipa wastaafu

    Tangu mwez wa 4 watu hawajalipwa,wawatengenezee na riba,maana hakuna namna tena,wanahtaj viboko
  13. M

    PSPF wakaidi agizo la N/Waziri wa Fedha kulipa wastaafu

    Hawawezi kujichunguza,wasubiri mwakani kupoteza wateja,hasa walimu weng wataenda mifuko mingne,imekuwa dharau sasa
  14. M

    Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

    Duh watu wanajitoa muhanga! kwenda bila kofia,unabak na mawazo mwaka mzima,labda uwe umelewa
Back
Top Bottom