Tanzania itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli: Je, wazalendo wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli: Je, wazalendo wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jul 8, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana hii statement "Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli"

  Tanzania itajengwa na Watanzania
  Watanzania Gani? Watanzania ambao ni wazalendo wa Kweli.

  Je kuna watanzania ambao ni wazalendo wa kweli tena leo? In fact hakuna! wakina mwalimu, Kawawa, karume hawapo tena! Sasa hivu Tanzania inaliwa na watanzania wenye mizizi CCM.

  Na rais JK anaamini Tanzania itajengwa kwa kuwapigia wafadhili magoti.

  Kwa mtaji huu tanzania itakua na hali gani ni 20-50 years to come? Inabidi Jeshi waongeze silaha kwa ajili ya kupigana na wananchi wake.
   
 2. m

  mugajwale Senior Member

  #2
  Apr 27, 2017
  Joined: Feb 19, 2015
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa mtazamo tu.tukiungana kama jumuiya ya pamoja tukaweka tofauti zetu pembeni tunapiga hata bila hata kutegenea masharti ya wahisani
   
 3. sam shami

  sam shami Member

  #3
  Sep 20, 2017
  Joined: Sep 22, 2016
  Messages: 69
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Tanzania will be reshaped n built by Tanzanian themselves. And if it falls it will fall by the actions of Tanzanians themselves, either in periods of prosperity and scarcity or during dark nights n bright days. As we embark on a tough economic war for true freedom, I have a message on opposition politics, there is no better representation than to learn from history. No African country has ever succeeded by the help of foreign powers,particularly the West. Democracy yes but Tanzania first.

  "This is the problem with being to rational in politics nowadays. A rational patriotic president is challenged by irrational media sensationalism by very weak thinking. Every day the situation is to patronize the West n appealing to foreign govts to have a bad picture to our country. Historia itatuhukumu kama Libya tusipokuwa makini. these times require unity,these times require togetherness,these times require national interest,this times require learning from History even a history of other parts of Africa ie Libya.

  These times above all require Patriotism. Some people out of political sentimental feelings want to commit their love to other nations for selfish political ends. For them a patriot is regarded as a persona non grata to the selfish self interest politics. When Tanzania is tested they tend to be proponents of Identity Politics. "We the opposition"

  I do believe in democracy,but such belief is on Tanzanian footing. It is unclear how much longer will the sons and daughters of Tanzania realise pushing a political agenda behind the honourable Lissu attack is not only painful to his family, but it does not benefit anyone. It does not benefit the opposition n it doesn't benefit the Republic n its people.

  Now, every where we look is a nonsensical correspondence of letters to our nation as if this nation depends on other nations to practice its sovereigity. This politics are old, such politics are sick, and weak politics. We should be careful. We cant take our union for granted, we cant take our peace for granted. This nation is the only country were muslims n christians live side by side.

  This natjon is the only nation where different tribes marry into each other n live together. Our country though developing it is enequaled in the world. Tusisahau hilo. Our history is unique. To keep the legacy of Nyerere, let us walk always together in our diversity. To make sure JPM succeeds tusikubali social media to be a wage to drive animosity among us but learn n compromise.

  We should not be cheaply inculcated in biases and beliefs affirmed by what they read on social media than want to reconsider what is vital to our country. Most people believe what is convenient for them and what they want to believe. Facts are not important to them. But in this times of fake news we Tanzanians tumeanza ujinga wa kuona other nations are politically better than us. Kweli? It is seems to be greener on the other side but thats not the case. each and every day we tend to patronize foreign intrusion. How can we be completely ignorant and brainwashed?

  Leo hii ukiwa mzalendo wa kweli unaonekana mnafiki...unatafuta cheo au sifa. If this trend continues someday wazalendo hawatafanya kazi kwa nguvu zao zote kwani watafiriwa kuwa watafuta vyeo. Unlikely they will be missed. No one will even know that they are gone.
  Our future is our making in the present. Already, gobs of people are unable to follow a reasoned politics n they believe it will easy to seek foreign assistant. Nyerere alichukiwa sana na wazungu, na inaweza tokea JPM akachukiwa sana na mabepari. Ila heshima ya taifa la Tanzania ilisimama kwa wakati wa nyerere maana watanzania walikua kitu kimoja. Ni vema nyakati hizi za JPM tuwe kitu kimoja. Wachina wanamsemo wao unasema hivi...
  "A man without shoes is not afraid of the man with shoes"
  Hivo leo Tanzania kwakua hatuna viatu hakuna haja ya kuogopa walionavyo.

  Thinking loud! !
  Matusi hayaruhusiwi
   
 4. n

  nsereko m JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2017
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 2,921
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  mtazamo wako.
   
 5. Bobwe2

  Bobwe2 JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2017
  Joined: Feb 26, 2014
  Messages: 1,367
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Hatutaki sababu za kishamba, wanachi tunataka noah zetu pamoja na viwonder bila ya kusahau millioni 50 kila kijiji.
   
 6. chuma cha mjerumani

  chuma cha mjerumani JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2017
  Joined: Dec 4, 2013
  Messages: 4,789
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Kuvaa viraka na kupata kwashakoo ndo heshima kwa taifa???

  Usimuweke Nyerere kwenye mfano wa kuigwa kwa upande wa uchumi UNAKOSEA.


  ila wewe giniasi kila siku ID mpya na unakumbuka password zote hongera. kukumbuka password 78 si mchezo.


  Njoo jijibu na zile nyingine sasa.
   
 7. yoga

  yoga JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2017
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 1,100
  Likes Received: 1,535
  Trophy Points: 280
  The truth is imebomlewa na ccm kwa miaka 50 sasa uyu fundi wa sasa ivi toka ccm ndio ajui ata ramani ya nyumba anayojenga. Anajenga bila vipimo anchangnya kokoto na mwiko hapo hakuna nyumba tena!!
   
 8. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2017
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Jiwe waliolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.
   
 9. cephalocaudo

  cephalocaudo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2017
  Joined: Aug 27, 2016
  Messages: 5,941
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  Ushauri huu alitakiwa kupewa mwenyekiti wa ruling party ngazi ya taifa.
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2017
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Huu wimbo wa kulaumu upinzani umechuja, jaribu kutafuta santuri mpya...upinzani haujawahi kukamata madaraka ya nchi hii ila aliyopo madarakani ni huyo huyo amekuwa sehemu ya utawala uliotufikisha hapa kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini akiwa Waziri. Halafu ngoja nikupe ushauri kijana...hata siku moja usijaribu kumlinganisha wala kumhusisha Baba wa Taifa na mambo ya kijinga.
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2017
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Most of us prefer stability over anarchy, democracy over autocracy and freedom over oppression.

  This tyrant is sowing divisiveness in the country through his violent speech, using gov. apparatus and the constitution not to institute the rule of law but for his own gain.

  Everyone dare to question his actions faces intimidation, harrasment, jail term and death threats. His hallmark abusive language against opposition can now be felt far and wide to every corner of this beautful country. For sure what he's doing is not used to our country.

  We are witnessing uncommon phenomenon in post 21st century history of our country that busineses are collapsing and investors are scared of a what will goverment decide tomorrow.

  Many are watching with fear to see what will happen after this tryant brought this country to its knee. God forbid.
   
 12. P

  Phillipo Bukililo JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2017
  Joined: Dec 29, 2015
  Messages: 6,226
  Likes Received: 3,292
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeandika utani lakini na utoto upo akilini mwako!!.
   
 13. p

  pacoma JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2017
  Joined: Apr 6, 2014
  Messages: 453
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Nafikiri wapizani ndio wazalendo kuliko ccm.7bu wanatoa Mawazo ya nn kifanyike kabla ya kuvunja mikataba lkn kwa kiburi cha serikali haitaki kuwasililiza.matokeo yake ndio hiyo Mara ndege kuzuiliwa.na ccm ndio walioingia mikatba Hiyo mbaya zaidi mikataba mingine sizonje ndio kavunja bila kufuata sheria.japo upinzan ulitoa angalizo
   
 14. mo effect

  mo effect JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2017
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 484
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 180
  Andika kiswahili, nyie ndio mnaibomoa Tanzania
   
 15. b

  bababikko JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2017
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 878
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 180
  Tumewapa nchi malimbukeni na washamba
   
 16. Lizarazu

  Lizarazu JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2017
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 3,471
  Likes Received: 3,401
  Trophy Points: 280
  Kitendo tu cha wewe kuiweka lugha ya Tanzania kando na kutumia lugha ambayo sio ya watanzania, tayari umeshaibomoa Tanzania.

  Kubwa jinga wewe hujui ni nini unachofanya.
   
 17. A

  Allineando JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2017
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 1,577
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Word!
   
 18. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2017
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,543
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  We should Rethink. .......
   
 19. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2017
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,089
  Trophy Points: 280
  Sure.
   
 20. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2017
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,543
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  ....
  ....Salute
   
Loading...