Vyuo vikuu wavae uniform wakati wa darasani,wadau michango tafadhari

mugajwale

Senior Member
Feb 19, 2015
105
23
Ifike mahala wanachuo wavae sare,zinawajenga haiba waendapo makazini. Wengi huvaa hovyo wakati wa darasani.
 
Last edited by a moderator:
Nani atawanunulia Uniform....????wazazi tuko hoi bin taaban jamani,wanafunzi wengi hawajapata mikopo na waliopata haitoshi.Tuhurumieni tuacheni tusubiri mauti yetu kwa amani.
 
Ifike mahala wana chuo wavae uniform,zinawajenga haiba waendapo makazn,weng huvaa ovyo wakt wa darasani

Wazo lako ni zuri hasa ukizingatia ishu ya uvaaji mavazi katika maofisi iwe ya umma au binafsi. Changamoto hapo itakuwa ni suala la gharama kwani hapa tu tunaambiwa bumu halitoshi katika kukidhi mahitaji ya mwanafunzi
Nadhani suala liwe ni kuwa strictly katika suala la mavazi ya heshima wanapokuwa madarasani. Na vlvl kwa kuwa kuna 'clothing code of conduct' katika ofisi za serikali basi hili litiliwe mkazo hadi huko vyuoni
 
Hilo la uniform sijui kama ni sahihi ila kuna vyuo kama Tumaini Makumira wadada hata suruali hawaruhusiwi kuvaa na pensi kwa wakaka
 
Huna akili..ulaya hadi sekondari hawavai uniform halafu umlazimishe mtu mzima kuvaa..mjinga kweli wewe..peleka ungumbaru wako huko!
 
Nani atawanunulia Uniform....????wazazi tuko hoi bin taaban jamani,wanafunzi wengi hawajapata mikopo na waliopata haitoshi.Tuhurumieni tuacheni tusubiri mauti yetu kwa amani.
Basi wavae kufia tuu maalamu zibuniwe.
 
First year washakuchanganya sio? Subiri mkuu,second year wakienda field huwa wanabadilika,wanarudi wamekuwa watu wa zima na wako tayari kuwa mke wa mtu, maana mawazp yao yooote ni kuwa baada ya kumaliza chuo ni kuolewa na kazi baasi,na hapo ndo huanza kuwa hata serious kwenye relationship.hao ndo wanachuo mkui,vumilia tu!
 
Huna akili..ulaya hadi sekondari hawavai uniform halafu umlazimishe mtu mzima kuvaa..mjinga kweli wewe..peleka ungumbaru wako huko!
Hapa ndio huwa tunapotea. Unajilinganisha na Ulaya kwa lipi wewe!?
Ulaya viongozi wake wanazitumikia serikali zao lakini huku viongozi wanaziibia serikali wanazozioongoza.
Ulaya wanafunzi wana uhakika wa mahitaji ya msingi lakini hapa kwetu hata kula inadidi wanafunzi waandamane.
Ulaya wanaishi kwenye miji iliyopimwa huku tunaishi kwenye slums
Kwa Ulaya uwezekano wa kumaliza vyuo na kupata ajira ni mkubwa lakini hapa kuwa jobless ndio kukubwa zaidi
alafu Ulaya hakuna kipindupindu.
Hoja yangu ni kuwa tafuta maelezo yanayoendana na sisi na jinsi elimu yetu invyoweza kutusaidia na sio kulinganisha na ulaya. Mleta mada ana hoja na msimbeze.
 
Huna akili..ulaya hadi sekondari hawavai uniform halafu umlazimishe mtu mzima kuvaa..mjinga kweli wewe..peleka ungumbaru wako huko!

Nilikuwa kunahaja ya kutumia maneno makali kiasi hicho?
Naona kama umetoa povu sana pasi na sababu..punguza jazba.
 
Hasa wale wanaosoma vyuo vya kata.. kama UDOM, HKMU, IMTU, SAUT n.k Sio UDSM.
 
Back
Top Bottom