Recent content by mugajamii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maovu ya GSM yaanikwa: Wahusishwa na watu wasiojulikana, Makonda aonywa kuwa karibu nao

    Ni kama Chenge na dili za ufisadi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Kweli hujui kama tofali zinachukua eneo sawa haijalishi umelilaza au kulikalisha? Safari ni ndefu sana kwa kweli.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

    Sio swali hilo, ni maelezo. Nimeyatoa baada ya kusoma headline uliyoiweka na habari yenyewe viko tofauti. Tunajifunza pamoja, tutafika tu. Ila ahead of schedule ni kabla au mbele ya muda uliokadiriwa.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

    Ahead of schedule sio nyuma ya muda. Ni mbele au kabla ya muda.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro crater.... (domestic tourism)

    Osha kwa maji ya chumvi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro crater.... (domestic tourism)

    Ukiviosha kwa maji ya chumvi mbona vinalika. Kama ni Me kula red onion.
  7. M

    JamiiForums Tanzania NORTH KOREA(Kim Jong Un): Bilionea George Soros amuonya Donald Trump

    Mwenzake rockerfella alikufa mwaka jana, alishafanyiwa operation sita za moyo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna athari zozote kiafya kwa kumeza makohozi?

    Kama ni yako we meza tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania President Magufuli should know better and show some respect

    Pia inabidi iwe Fornt fet ndio aione.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina changamoto zisizoisha

    It's a process not a project.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyanya zimekosa soko zinaniozea Mahenge.

    Fuga na nguruwe kama ni mkulima, hutakaa upate hasara ya mazao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    Juaga hata kuziandika basi kama kweli unazipenda.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Kitu pekee viongozi wa Africa watakachojifunza hapo ni kuwaweka vibaraka wao kuwa wakuu wa majeshi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Kwamba chadema inatoa kinga dhidi ya mashitaka au wanaweza kuzuia!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    Ukimaliza kushangaa hilo, jiulize waziri wa mambo ya ndani yuko wapi hadi DAB ndio ashughulikie mambo yaliyo chini ya wizara husika.
Back
Top Bottom