Recent content by Mufata

  1. Mufata

    JamiiForums Tanzania Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza

    Ameshasema hajui kiingereza, we mbona huelewi[emoji1787][emoji1787]
  2. Mufata

    JamiiForums Tanzania Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

    Ngoja nikutumie no
  3. Mufata

    JamiiForums Tanzania Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

    30000
  4. Mufata

    JamiiForums Tanzania Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

    Unaweza kuwacheki Imani Plus ni nzuri pia.
  5. Mufata

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Walinipa muongozo, kwenye hiyo 9150 unaongeza na kodi ya nyumba 1000 au kama unadaiwa zaidi unaweka kiasi ambacho unadaiwa ili kusudi wakishakata madeni yao wewe ubaki na kiasi kisichozidi 9150.
  6. Mufata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimfumania mpenzi wako/ mchumba wako utachukua uamuzi gani?

    Mchumba, mpenzi huu ni uzinzi na uasherati sasa mtaweza kuhukumiana vipi wakati nyote mnatenda yasiyofaa.
  7. Mufata

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua mtoto ni wangu au si wangu bila kutumia DNA?

    Usiangaike sana, wewe mkoroge mama mtoto na uhakikishe umemvuruga haswa alafu katikati ya vurugu muulize mtoto ni wa nani, utapewa jibu sahihi.
  8. Mufata

    JamiiForums Tanzania Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

    Kwani hujafa
  9. Mufata

    JamiiForums Tanzania DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    Hata mimi waliniambia hivyo hivyo, kwamba wakati wanapanga hiyo promotion nilikuwa kifurushi cha compact na baadae nikahama kifurushi kuja family hivyo nilipolipia compact ili nipelekwe compact plus, ndio wakaanza porojo zao, ila mwanzoni walinihakikishia kuwa nikipanda watanipandisha. Ni...
  10. Mufata

    JamiiForums Tanzania Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

    Tecno ni kama ccm, sio kwamba unaipenda ila inakulazimu kulingana na hali.
  11. Mufata

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

    Dvd prayer sio umplifier.
  12. Mufata

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

    Muwa na kitumbua km 10[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. Mufata

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mtandao wa ovyo kabisa, network muda wote E nilishaiweka kwenye kabati, niko Kibamba.
  14. Mufata

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mtandao wa hovyo kabisa.
  15. Mufata

    JamiiForums Tanzania Mene.. Tekeli.. Peresi...

    Hii lugha haikuwa kiyunani na ndiyo maana mfalme alitaka kuwachinja waganga wake kwa kushindwa kuitafsiri hii lugha, ni lugha isiyojulikana na aliyeitafsiri alipewa uwezo na Mungu.
Back
Top Bottom