Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
Mkuu, samahani ameuliza basiKuna usafiri wa ndege, jaribu kucheki
Mkuu, samahani ameuliza basiKuna usafiri wa ndege, jaribu kucheki
Urefu wa kamba pia azingatie.Mkuu, samahani ameuliza basi
Mkuu asante sana ila hawa ten commandments si kama nikitoka nikarudi na mtoto wa tukuyu wataulizia chet (joke)Lodge nzuri ukiwa standa pale tokea geti laupande wa kituo Cha polisi stand, ukishatoka getini kunja kushoto, uliza ten commandments! Inakufaaa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu asante sana ila hawa ten commandments si kama nikitoka nikarudi na mtoto wa tukuyu wataulizia chet (joke)



wewe ni mwenyeji acha kutuzuga hapa!!Mwelekeze akafikie kwa mama yako mdogo, huo ndiyo udugu wetu watanzania na wanaJF.mkuu nina kauzoefu kidogo na mbeya kuhusu usafiri maana naendaga huko mara kwa mara nakupa ushauri wa bure, Panda bus la kampuni ya Imani Plus.
*sifa zao:
--hawakimbii sana
--wanasikiliza wateja wao
--kufika salama ni 99%
--nauli 40k
*kuhusu sehemu za kulala wageni Guest Houses na Hotel sina uzoefu nazo, huwa na fikia kwa mama yangu mdogo Ilomba.
-- Ukirudi Dar urudishe shukrani mkuu nimekupa ABCD's za Mbeya
View attachment 2028411
anipigie 0717877781Mwelekeze akafikie kwa mama yako mdogo, huo ndiyo udungu wetu watanzania na wanaJF.
Kwanza tanguliza pesa ya mboga na sabuni ugali utapata bure.anipigie 0717877781
unautani weweKwanza tanguliza pesa ya mboga na sabuni ugali utapata bure.







Simshauri apande gari za IT sababu si salama kama anapenda kuishi, sababu hujui gari liko katika hali gani, inawezekana tairi zimeshaexpire alafu wengi wa madereva wa IT siyo madereva wazuri na ukizingatia unapita kwenye highway ambapo umakini mkubwa unahitajikakama una roho ya Paka panda MAJINJAH
hakuna tuta wala shimo, yeye ni weseeee tu full kunyoosha goti
Kama unataka kukimbizwa kama gari za gazetti ,sauli na golden deer.
ila ukitaka kuenjoy safar huku mnasimama sana na kula sana mixer bia panda gari za IT apo mbezi (Tafuta it gari kaliii zinazoelekea zambia)
Umenisaidia sanaLodge nzur mbeya nenda sai pale ..mfikemo, the game, pm hotel, zpo kwenye bajet yako uta enjoy san
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app