Luxury yake ikoje hasa ndani?sifa za sauli nasikia ni mwendo kasi kwangu sio poa na je nauli yao kiasi gani na ofisi ziko wapi ukiondoa kule magufuli?Panda kilimanjaro hao akina sauli ni wazee wa ligi tu kula dk 15 yaanini kukimbizana
30000Asante na nauli yao kiasi gani?
Sauli nauli 30000😳😳😳SAULI EXPRESS
Hamna Shabiby ya dar mbeya....Shabiby Line
Sauli nauli ni 44000Asante boss kesho nitafika ofisini kwao
Karibu Mbeya,,ila Sauli nauli ni 44-45.kwa 30 labda upande hakuna kulalaAsante boss kesho nitafika ofisini kwao
Sindo hao umesema hapo juu sifa yao ni speed na hauwahitaji? Mbona umegeuka tena?Asante boss kesho nitafika ofisini kwao