Recent content by mudryk

  1. mudryk

    Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Cha kushangaza waliokua wanaenda chato festival siku hizi ndio hao wamehamia kizimkazi festival chato wameikimbia
  2. mudryk

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sio kweli mkuu wanaofanyisha usaili wilayani na Ni kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika ambapo humo ndani kuna vyombo vyote vya usalama na sio wajeshi peke yao Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. mudryk

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Chukua ushauri huu ukienda mmjkt hawatakukataa Tena watakufurahia kukuona mzalendo na chap utapangiwa kambi kuungana na hao ma dg wa six Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. mudryk

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Huyo chizi maarifa karibia kila story inayoletwa yeye hua anaponda tu ana shida gani au Ni chizi kweli?? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. mudryk

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Jf watu wanakera Sana yaan mtu anasimulia story yake watu wanaleta ujuaji na imekua Ni tabia sasa maana hii story ya tatu msimuliaji anashindwa kumalizia sababu ya ujuaji wa baadhi ya wapuuzi humu ndani itafutwe namna ya kuwadhibiti ili wasiwaaribie wengine wanaotaka kujifunza kutokana na hizo...
  6. mudryk

    TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

    Humu ndani kumbe unaza jikuta unabishana na mwanao kabisaa yani tu toto Ni twingi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. mudryk

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa arsenal ndio timu au kituko cha karne Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. mudryk

    Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Nilijua tu utakua mzee wa kilaji alosto inakutesa af wanakuchelewesha Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. mudryk

    Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Hahahaaa nimecheka sana Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. mudryk

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa lukaku Ni wakutegemewa?? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. mudryk

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni kweli ma striker tunao lakini hawana ubora huo wa kutegemewa anahitajika striker ambaye atatupa goli 20+ kwa msimu hawa tulionao wa kawaida sana sio level ya timu kubwa Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. mudryk

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Upo serious mkuu kweli hatuhitaji striker?? yaani tuendelee kuwategemea akina harvetz me naona pamoja na yote uliyoyataja lakini striker anahitajika sana Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. mudryk

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Duh aisee Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  14. mudryk

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wana Chelsea wenzangu hivi Ni striker gani tukimsajili anaeza tufaa pale kwa msimu ujao Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  15. mudryk

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hakuna mtu asiyeweza kufanywa chochote Tanzania hii wanawakuta wajinga Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom