Recent content by Mu-Israeli

  1. Mu-Israeli

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Mtafute fundi huyu anaitwa Juma. Simu 0655 440 059. Anakaa Kibamba.
  2. Mu-Israeli

    SOFTWARE Biblia Takatifu na Sauti

    Hi. Boresha majina kwenye app yako, mfano jina 'Danieli' limeandikwa 'Danielii', jina 'Ruthu' limeandikwa 'Ruthuu', na kadhalika. Pitia uone na majina mengine yaliyoongezewa herufi mbele yake uyarekebishe. Otherwise, app ni nzuri sana.
  3. Mu-Israeli

    Nahitaji mashamba ya kukodi

    Wasiliana na mwenyeji wa Ruvu kwenye kijiji kinaitwa Kitomondo anaitwa Macho. Anakodisha mashamba yake, Namba yake ni 0683-703 745.
  4. Mu-Israeli

    Jamani kwa wale mlioona post za huyu dogo mitandaoni hebu fanyeni kitu?

    Habari wana-JF. Nimesoma maoni ya watu wengi kuhusu huyu kijana. Nikakumbuka kuna kujana kama huyu aliteseka sana na UKIMWI akafikia hatua kama ya huyu kijana. Lakini hakukata tamaa, wala hakuharakisha kunywa sumu. Huyu hapa kwenye picha. Kukata tamaa, kunywa sumu, kukimbilia kufa, n.k. ni...
  5. Mu-Israeli

    Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Hebu thibitisha uwepo wa hewa ili niione.
  6. Mu-Israeli

    Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Hii INA maana kuwa hata hewa haipo maana haionekani.
  7. Mu-Israeli

    Laana inayoitafuta familia/ukoo wa Gwajima

    Hebu rekebisha hapo ulipoandika kuwa hakuna mtu aliyefufuliwa baada ya Yesu kuwafufua aliowafufua. Soma hapa.. Matendo ya Mitume 20: 07 - 12... inasema... 7 Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye...
  8. Mu-Israeli

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Huo nilioandika ni mfano mmoja tu wa uwezo wa Obama kufanya 'upuuzi'. Wewe umeandika kuwa Obama hawezi kufanya upuuzi...!!! Sasa nikaona nikuonyeshe mfano mmoja tu wa upuuzi ambao huyo unayemtetea ameshaufanya saaana tu... Sasa naamini unaweza kuelewa kuwa Obama anaweza saaana tu kufanya upuuzi.....
  9. Mu-Israeli

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Obama anaweza kufanya lolote lile. Kama ameweza kufanya mambo ya 'kipuuzi' kuliko marais wote wa marekani waliopita, atashindwa nini kufanya hili..?? Aliweza 'kulazimishia' sera zake za ushoga kwa mataifa yanayohitaji misaada kutoka marekani. Hakuna rais yeyote wa marekani aliyewahi kufanya huo...
  10. Mu-Israeli

    Former official denies Trump's phones were tapped

    umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili. Yaani wewe ni 'zaidi' ya Obama.... Kumbuka kashfa kama hizi ni kubwa. Wakati uleeee... wa 'watergate' jamaa walikanusha hivi hivi,... lakini baadaye......!!!!!
  11. Mu-Israeli

    Submersible Solar Pumps

    Asante sana Mkuu. Nime-google, nimewaona kwenye facebook. Nimepata details zao zote. Asante sana.
  12. Mu-Israeli

    Submersible Solar Pumps

    Thanks. Nita-google, nikikwama nitakishtua.
  13. Mu-Israeli

    Wale wa miaka ileeee!!

    Pia bettery hizo zikizidi kuisha charge, tulikua tunaziweka karibu na choo cha shimo, kwa imani kuwa zilikua zinapata charge kutoka chooni...!!!
  14. Mu-Israeli

    Jinsi gani naweza kumdhibiti shetan wa ukoo anaetaka kunipa uganga

    Ushauri: Muamini Bwana Yesu Kristo ili uokolewe sasa. Ukishaokoka, dumu kwenye wokovu maisha yako yote, na Yesu Kristo atakulinda dhidi ya mapepo na mashetani yote hayo. Dumu katika wokovu, jifunze sana Neno la Mungu ili uwe na msingi mzuri na silaha zote za kupambana na mapepo na mashetani...
  15. Mu-Israeli

    Wale wa miaka ileeee!!

    Halafu redio yenu kumbe ilikua bendi mbili tu... Sisi tulikua na redio ya bendi nne..!!!
Back
Top Bottom