Nahitaji mashamba ya kukodi

Mwanamena

JF-Expert Member
Feb 4, 2020
1,107
1,342
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar.

Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe yanapatikana kiangazi chote); liwe linafikika kiurahisi kutoka barabara Kuu; mwenye ufahamu au kuwa nalo, anicheki DM.

Nawasilisha.
 
Wasiliana na mwenyeji wa Ruvu kwenye kijiji kinaitwa Kitomondo anaitwa Macho.
Anakodisha mashamba yake, Namba yake ni 0683-703 745.
 
Back
Top Bottom