Former official denies Trump's phones were tapped

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,126
(CNN)

Asked about the tweets from President Donald Trump today, a former senior US official with direct knowledge of investigations by the Justice Department under the Obama administration denies there was any such investigation of Trump or that his phones were tapped.

"This did not happen. It is false. Wrong," the former official said.
The official said clearly that President Barack Obama could not order this. It would have been been taken to a judge by investigators, but said investigators never did that, the former official said.

Former official denies Trump's phones were tapped - CNNPolitics.com

Developing story - more to come
 
Obama KAMWE hawezi kufanya upuuzi kama huu. Obama should sue him asap.
umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili.
Yaani wewe ni 'zaidi' ya Obama....
Kumbuka kashfa kama hizi ni kubwa.
Wakati uleeee... wa 'watergate' jamaa walikanusha hivi hivi,... lakini baadaye......!!!!!
 
Subiri utarudi kuniambia kuhusu hili. Obama kamwe hawezi kuruhusu upuuzi kama huu. Hizi ni techniques za Trump kudeviate attention kutoka kwenye scandals zake za kuhusiana na ukaribu wake na Russia.

Halafu huyu jamaa credibility yake ni ndogo sana labda Rais angekuwa Romney na kuyasema haya ningeweza kuamini hata kwa 60% lakini huyu jamaa, HAPANA siwezi kabisa kumuamini. There is nothing in this story. Ngoja tusubiri Mkuu tuone ushahidi husika na tumsikie Obama. Kamwe hawezi kukubali kuchafuliwa legacy yake kiasi hiki.

umesha conclude hata kabla ya Obama mwenyewe kuongelea swala hili.
Yaani wewe ni 'zaidi' ya Obama....
Kumbuka kashfa kama hizi ni kubwa.
Wakati uleeee... wa 'watergate' jamaa walikanusha hivi hivi,... lakini baadaye......!!!!!
 
Subiri utarudi kuniambia kuhusu hili. Obama kamwe hawezi kuruhusu upuuzi kama huu. Hizi ni techniques za Trump kudeviate attention kutoka kwenye scandals zake za kuhusiana na ukaribu wake na Russia.
Obama anaweza kufanya lolote lile.
Kama ameweza kufanya mambo ya 'kipuuzi' kuliko marais wote wa marekani waliopita, atashindwa nini kufanya hili..??
Aliweza 'kulazimishia' sera zake za ushoga kwa mataifa yanayohitaji misaada kutoka marekani.
Hakuna rais yeyote wa marekani aliyewahi kufanya huo 'upuuzi'... na labda hatakuja kutokea...
 
Mkuu achana na ushoga hapa tunazungumzia subject husika. Uzi huu hauna mahusiano yoyote yale na ushoga. Kama unataka kujadili Obama na kuruhusu ushoga fungua uzi mwingine.

Huo nilioandika ni mfano mmoja tu wa uwezo wa Obama kufanya 'upuuzi'.
Wewe umeandika kuwa Obama hawezi kufanya upuuzi...!!!
Sasa nikaona nikuonyeshe mfano mmoja tu wa upuuzi ambao huyo unayemtetea ameshaufanya saaana tu...
Sasa naamini unaweza kuelewa kuwa Obama anaweza saaana tu kufanya upuuzi.....
 
Niliandika upuuzi kama huu.

Ngoja tusubiri labda anaweza kuja na evidence ya hili, lakini jinsi alivyo na credibility ya chini sidhani kama ana ushahidi. Na kama hana ushahidi ahueni yake ni Obama kuamua kukaa kimya lakini akiamua kumfungulia mashtaka ili alipwe fidia basi credibility yake itazidi kuanguka na kuongeza dosari nyingine katika hii awamu yake ya kuwemo WH.

Trump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.

Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.

Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.

He's too dramatic.
 
Mimi nahisi hana evidence wala nini huyo...hususan ukizingatia track record yake ya kutoa hizi claims za ajabu ajabu halafu akibanwa atoe ushahidi anajiuma uma.

Lakini ngoja tusubiri tuone.

But I'm not going to hold my breath on it because his track record doesn't inspire confidence at all.
 
Trump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.

Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.

Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.

He's too dramatic.
Hahahahah Trump ni Bashite kweli
 
Trump bana...ni sampuli za akina Makonda na Gwajima tu.

Bila hata ya kutoa ushahidi anakuja na bonge la accusation hahahaaa.

Sasa rais mzima anatoa tuhuma kubwa kama hiyo halafu hatoi ushahidi...shameful.

He's too dramatic.

U republican republican wako na u trampu trampu umekuishia?
 
huyo mjaruo ni kawaida yake kudukua watu, kama alimdukua rafiki yake angela mirkel atashindwaje kumdukua trump ambaye hampendi?!
hahaha pamoja na kutompenda kiasi cha kumdukua lakin ndo hivyo tena kaja.
 
Obama KAMWE hawezi kufanya upuuzi kama huu. Obama should sue him asap

Tatizo alilonalo Trump ni kutokujua toka mwanzo ugumu wa kuongoza taifa la marekani kama RAIS; hivi sasa ndio anaona ugumu wake na kutafuta jinsi ya kutokea, anaweka visingizo vyote vya kushindwa kwake kutawala kwa mtangulizi wake!!!
 
Experience Experience Experience. Experience ya kuongoza biashara kubwa katika nchi mbali mbali duniani na kuongoza nchi ni vitu viwili tofauti. Halafu kibaya zaidi huyu jamaa haambiliki na hili linamgharimu zaidi.

Back
Top Bottom