Submersible Solar Pumps

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
784
326
Habari wadau

Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.

Shukrani
 
ila hizo pampu utendaji wake wa kazi ni kweli mkuu
 
Habari wadau

Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.

Shukrani
Dowa Korea kusini zina nguvu,ila inategemea na mahitaji yako ya flow rates
 
Jaribu canada mimi nimenunua ina toa liter 3500 kwa lisaa ni nzuri na nireliable sana maana kwa siku nzima inapandisha mpaka lita 45000
 
Hio inahitaji panel za watts ngapi? Naomba pia jina la hio brand niitafute online au nigaize vijana wangu wa Canada wanitafutie
 
Naomba details za pump hiyo.
Yaani ni aina gani (brand name), specification zake na indicative price ulionunulia.
Thanks mkuu.
 
Kwanini uende Canada kaka.
Funga safari njoo dubai ,fika sehemu panaitwa sabkha bus station,
Hapo ukitaka solar pump kutoka pembe zote za dunia unapata.
Ila ninachokushauli usichukue pump za solar ambazo hauhitaji betri zitakuumiza.
Pump ikiwa na tatizo au panel inamaanisha shughuli zako zitasimama.
Nilichofanya mimi nilichukua off grid solar ambayo ina betri na inveter zipo grade tofauti kutoka sukam solar unaweza cheki kwenye mtandao.
Submarsible pump nilichukua kwenye hii kampuni huku dubai (www.eiemedxb.ae)+97142863550.
Pump zao ni nzuri sana wacheki.

1-offgrid solar system
2-pump
 
Naomba details za pump hiyo.
Yaani ni aina gani (brand name), specification zake na indicative price ulionunulia.
Thanks mkuu.
Kuna kampuni dar inaitwa PROACTIVE SOLLAR PUMPS WANAZO ZA UKWELI. Ila nilipoteza mawasiliano yao ukinipa siku 2 nayatafuta. Au jaribu kugoogle
 
Habari wadau

Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.

Shukrani
Proactive solar pumps. Wapo dar wanazo system nzima yaani pump, battery, sollar pannels nk. Ni mahitaji yako tu. Namba yao 0622 000 038
 
Kuna kampuni dar inaitwa PROACTIVE SOLLAR PUMPS WANAZO ZA UKWELI. Ila nilipoteza mawasiliano yao ukinipa siku 2 nayatafuta. Au jaribu kugoogle

Asante sana Mkuu.
Nime-google, nimewaona kwenye facebook.
Nimepata details zao zote.
Asante sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom