Wapendwa mm nilikuwa mwana ccm,mpaka march mwaka Jana. Lkn nilipoona uchafu niliwachukia kuliko kitu yoyote,nilijiona nilikuwa mjinga sana, kwanza naombeni mnisamee kwa kuwai kuwa mwanachama wa ccm. Ninachowaomba ndugu zangu msiumise akili kubishana nao,wajibuni pole pole iko siku wataelewa kama...