Kumuita kwangu Lowasa fisadi hakuhusiani na Raisi Magufuli wala Mahakama yake, bali kunatokana na nilichofundishwa na kuaminishwa na Kubenea kupitia Gazeti lake, Lema kwenye mikutano yake pamoja Slaa, Lisu na Mbowe hawa watu ndiyo walionitambulisha neno fisadi Lowasa kwangu hivyo kama kama kuna yoyote anayepaswa kujibu maswali kuhusu Ufisadi wa Lowasa ni hawa watu na siyo mimi kwani hakuna siku waliokanusha kwamba Lowasa siyo fisadi kwa kutumia njia ile ile waliyotuambia kwamba ni fisadi!
Acha kuaminishwa bwana. Tumia uwezo wa akili yako kutambua hilo wewe mwenyewe!!
Mbona mumeweza kutumia akili zenu hata kuwapa nafasi serikalini tena kwa akina Prof. Muhongo (ufisadi wa Tegeta Escrow Account), Dr. Mwakyembe (ufisadi wa reli na bandarini), Prof. Maghembe (mawaziri mizigo), Dr. John P. Magufuli (ufisadi wa ujenzi duni wa barabara zetu na uuzwaji wa nyumba za serikali) na wengine wengi kama si CCM yote?? Kwa nini asiwe Lowassa bwanaa!!!???
Let's be honest and sincere hata tunapokuwa tuna argue rather than kushambulia tu bila ya kuwa na facts.
Acheni mzee wetu ili ndoto aliyonayo katika maisha yake ya ingalau kuja kuwa Rais wa nchi hii hata kwa mwaka mmoja tu aitimize kabla hajapaa kwenda mbinguni!!
Hizo zingine ni fitna na siasa chafu tu ndani ya CCM, hakuna kingine chochote kile. Hakuna cha ufisadi wala nini!!
Au ni vibaya na dhambi sana mtu kuwa na ndoto zake ktk maisha yake mkuu??
By the way, what is your dream in your life? Je, ni kuhakikisha unamsema na kumwandika Lowasssa mpaka akome, au??
If this is the case, change it before it's too late because it will take you no where ndugu rather than causing an everlasting pain in your life!!