Lowassa: Tutaingia Ikulu bila kumwaga damu

Lowassa: Tutaingia Ikulu bila kumwaga damu

Huyu jamaa akisema nawataka watanzania kuwa watulivu na kulinda amani ya nchi na kujiepusha na jambo wanaona linamwelekeo wa uvunyifu wa Amani. Mnawelewaje huyu mzee,ni wachache wenye busara kama huyu Mzee wapende wasipende hatuna mtu kama huyu kwa sasa tz.Huyu Mzee hatakama ni mwizi,visadi sijui nini.Kila kijana mwenye akili, ila sio anayetoka ccm,amejifunza kitu kutoka kwa mtu huyu.
 
Wapendwa mm nilikuwa mwana ccm,mpaka march mwaka Jana. Lkn nilipoona uchafu niliwachukia kuliko kitu yoyote,nilijiona nilikuwa mjinga sana, kwanza naombeni mnisamee kwa kuwai kuwa mwanachama wa ccm. Ninachowaomba ndugu zangu msiumise akili kubishana nao,wajibuni pole pole iko siku wataelewa kama mm. Maana ukweli wanajua ila wanajifanya hawajui.
 
Kauli ambazo amekuwa akizitoa huyu Mzee tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu 2015 zinatia kichefu chefu.......!!
Akubali tu kuwa kwa sasa hana mvuto teeeena na hatokuwa nao....
Huyu Mzee anapitia njia aliyopitia Mrema!

Politically, he's dying slowly!
 
Hao wazee naona wengi wana sura za kichaga angalia midomo yao utajua ni wachaga
Mmmh, sitaki kuamini angalizo lako!

Hawa ni wazee wa jimbo la Ubungo bila kuangalia ni makabila yao!
 
THE DELUSIONIST....kaanza kukutana na wazee wa Chadema...jamaa anatafuta kick inashindikana.
Huyu Mzee anashangaza sana!

Haamini kama muda wake umepita!

Tanzania haiwezi tena kuongozwa na wanamtandao!
 
Atakuwa Rais Wa wajukuu wake.

Tunamshukuru kwa jinsi alivyolitumikia taifa letu
Ahadi zoye alizozitoa wakati wa kampeni amezivunja!

Alituambia kama hawataitoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu 2015, basi wapinzani itabidi wasubiri baada ya miaka 50!

Alisema kama atashindwa Uchaguzi Mkuu 2015, ataenda kuchunga ng'ombe wake Monduli!

He's still around!
 
nimeanza na naendelea kuona hekima na uvumilivu wa el. huyu ni hazina kwa taifa!.
 
Lowassa bwana ana mania, anaumwa kiharusi ndiyo maana bado tu anaamini alishinda. Lazima anashida upstairs
 
2968d546c9f8e2c2a9eb8c8c05e736c4.jpg
The Koch Brothers wa siasa za Tanzania!
 
Lowassa kiboko yao wenye chuki watauona moto......
Usichekeshe wanabodi!

Lowassa kama angekuwa ni kiboko yao, jina lake lisingekatwa kwa kutumia kalamu ambayo gharama yake ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kifungo cha mashati yake.

Lowassa is finished!
 
Lowassa anadhani ana hati miliki ya nchi hii. Tangu mwaka 1995 anasaka urais, na ukifuatilia nyendo zake kwa makini utagundua anachotaka ni urais tu, wala sio kusaidia Watanzania. Ingekuwa ni kwa ajili ya Watanzania angeanza na Monduli.

Hao wazee aliowakusanya halafu anajidai wamemtembelea ni kielelezo cha jinsi anavyoona Watanzania ni mazezeta, hawaweze kugundua usanii wake. Ni kinacholeta kichefuchefu ni tabia ya Lowassa kutumia dini kufikia malengo yake ya siasa. Angalia kwenye picha, yuko 'mzee' kavaa rozari! Yale yale ya 'ndugu zangu Walutheri'
Kuwa na mission and vision katika maisha ni jambo zuri, lakini anaposhindwa kuelewa kama mission yake ni impossible anakuwa yuko kwenye illusion.

Kwa sasa anahitaji msaada wa kifikra ili kumuondoa kwenye illusion inayomtafuna kila siku!

Inawezekana kuna matapeli wanakusanya wazee kama hawa na kumwambia wanakuja kumtembelea kwa sababu wanaamini ni Rais anayesubiri kuapishwa!
 
Mzee wangu .. Itabidi usuburibten years kwanza..huyu Magufuli japo halishinda ila naona kama anairudisha nchi na kuifanya iwe independent na inayojiamini na yenye usawa.. Ngoja tuangalie.
Lowassa lazima aelewe, the political game is over!

Kile walichokuwa wanakipigia kelele watanzania wengi kwa sasa kinapatiwa majibu mbadala na Rais Magufuli.
 
Siyo lazima aingie yy tatizo hamjui siasa,mpaka sasa hivi kuna mamilioni ya akina lowassa na wanaendelea kuzaliwa
 
Back
Top Bottom