Recent content by mtuwatofauti

  1. M

    JamiiForums Tanzania House girl anahitajika

    Mchana atakuwa anapika Chakula chake na mtoto tu, usafi wa nguo sio kila siku, kudeki ni seburi na vyumba viwili tu, anakula na kulala bure.. familia ni mimi, mke wangu, mtoto na yeye... Kweli hapo kuna kazi ipi ya kulipwa sabini au laki? Tuacheni uzembe WA tz bhana... Kijijini huko watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania House girl anahitajika

    Wana jamvi msichana wa kazi anahitajika haraka Arusha mjini bei 40000 kwa mwezi kazi yake ni usafi,kupika,na kukaa na mtoto wa miaka mitatu kuhakikisha anakula anashiba. Mawasiliano 0762742349
  3. M

    JamiiForums Tanzania Website designing expert

    Nina taka kumiliki Website ya kununua na kuuza na kutangaza biashara mbalimbali online tutaftane ndg tuweze kupatana. 0762742349
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Tembea uchi sasa na watu wapige picha tukuone....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vunja bei Offer: Samsung Galaxy S5 mpyaa bei chee

    Naomba basi samsung galaxy j7prime GB 32 memory laki tano ipo mkuu,maana nimetaka iphone umepotezea....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    wa bukoba wako juu kwa bei ya kuwanunua na kuwauza maana hawana mchanga,Musoma pia wanafata mwisho wa mwanza maana wana mchanga sana.Bei pia hutegemea na soko la sehemu husika...watu wa pale wanapenda dagaa wa wapi haswa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Natafta iPhone 6 Plus 500000 ipo mfukoni mwangu.... Mwenye nayo aweke picha na namba zake ntamtafta... Niko Arusha town.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya vitunguu yaanza kwa kasi

    Vipi mtu akiamua anunue aweke stock ili mwez wa nne auze si vitakuwa vimepanda?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa siri wa mchoma mahindi

    Tatizo la wengi ndo hilo kuwa kuajiriwa serikalini ni uhakika wa maisha, wakati ni umasikini uliokisiri unaofunikwa shuka la MSHAHARA.... Utumwa wa kuajiriwa ndo umetifikisha hapa.... Mawazo na fikira zimekomaa kutafta kuajiriwa tu... Hebu fikiria miaka 10 tu ijayo wasomi wa kila secta waatkuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua niache kazi nikajiajiri

    Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi... Hongera kwa kujikomboa ktk fikira za utumwa wa mkoloni mwajiri... Mi niko njiani nakamilisha tu taratibu za kutoka ktk utumwa.Bora nami nikawe mkoloni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Machozi ya mwanamke ni silaha kubwa, Wajinga waamuzi wetu

    Asingeelewa SIO Asingeekewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Machozi ya mwanamke ni silaha kubwa, Wajinga waamuzi wetu

    Title Ingekuwa 'Diamond kapata tunzo nyingine ' hakuna mtu asingeekewa ila mambo ya siasa yanayoendesha maisha yetu kwenye nyanja mbalimbali km biashara, kilimo, ufungaji, elimu n. k Watu wengi hawajaelewa chochote... FANYA MAAMUZI AMBAYO YATASAIDIA KIZAZI CHAKO MIAKA MIA TATU IJAYO...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    Basi afanye biashara atakayoisimamia mwenyewe kwa msaada wa kijana mmoja wa kazi au mtoto wake... Lakini akithubutu kujiweka pembeni kwa 70% atapoteza pesa na zitaisha kabla hata ya miaka sitini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    Km amestaafu kazi maana yake and miaka 55 au zaidi, Anataka alime... Ataweza kusimamia vizuri hao wafanyakazi? Au anataka stress za uzeeni tu? Ushauri wangu afungue duka la nafaka akae mwenyewe kupokea pesa akishirikiana na kijana mmoja wa kazi kwa ajili ya upimaji na mizungiko ya hapa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Wana jf nafanya biashara hii ya dagaa miaka mitatu sasa, muda wote huo nilikuwa nachukulia hapa hapa Arusha sokoni... Kwa wale wanaoleta na kuuza kwa bei ya jumla. Sasa nataka nianze kununulia visiwani harafu nawasafirisha hadi kwenye kiringe changu cha kuuzia hapa arusha...km kuna mtu aliyeko...
Back
Top Bottom