Vunja bei Offer: Samsung Galaxy S5 mpyaa bei chee

Vunja bei Offer: Samsung Galaxy S5 mpyaa bei chee

Mi nlijua atasema laki na nusu vunja bei gani huyu? Wakat yule vunja bei friji la laki 8 unalipata kwa laki tu
 
OFFER: kwa mwezi huu wa Saba nitatoa ofa ya Kava zurii na bora bure, Pia nitatoa na Glass protector bure kwa wateja wng wa humu JF wanaonisapoti kwenye harakati zangu za biashara kwa kuja kununua cm kwangu hivyo wateja wangu woote waliowahi kununua cm kwng km bado huna kava wala glass protector nichek, 0654776976,
Pia kwa wateja wapyaa watakaonunua cm mwezi huu mtapata glass na kava unatakalo lipenda bure kabsa, karibuni saaana..
# 0654776976

NB: Kumbukeni tu Simu zote ni mpyaaa, Original na zenye uwezo wa 4G.
Mzigo mpyaa wa simu unafika kila week.

#wapo wengi humu wamefaidi kijipatia simu kali kwa bei cheee, hivyo kwanini wewe ushindwe kusave hata 25% ya punguzo la bei kwa kununua cm kutoka kwa vunja bei kwa bei pouwa salio linalobaki ukafanyie mambo mengine, Maisha magumu!! sio unaenda kutandikwa libei kubwaaaa kwa wahindi, kisa kiyoyozi au ofisi nzuri ambayo hata huondoki nayo??
Amka! ukilala, unalaliwa, mjini hapa ...
 
Mkuu iphone 5s?? Na hyo s7 edge inakuja na ile sasmung vr gear yake??
 
Mkuu iphone 5s?? Na hyo s7 edge inakuja na ile sasmung vr gear yake??
Nope!! Hata ukienda kwenye duka la samsung kwenyewe hapa Tz hawakupi na hizo makitu...zile huuzwa km accessories za ziada
 
2846430a0cfab6d284a4e23474205eb7.jpg

Vunja bei again...offer ya leo, Jipatie galaxy S5 mpyaaa full accessories, black/white color. Storage 16GB, Ram 2GB, Camera 16MP...
Kwa Bei chee. 430k

:kumbuka pia Simu nyingne za kisasa zipoo kwa bei nzuri, nitafute mzee wa kuvunja bei ujipatie simu kali, mpyaaa na original kwa bei ya maelewano.

# 0654776976
[HASHTAG]#vieloon[/HASHTAG]gmail.com
Naomba basi samsung galaxy j7prime GB 32 memory laki tano ipo mkuu,maana nimetaka iphone umepotezea....
 
2846430a0cfab6d284a4e23474205eb7.jpg

Vunja bei again...offer ya leo, Jipatie galaxy S5 mpyaaa full accessories, black/white color. Storage 16GB, Ram 2GB, Camera 16MP...
Kwa Bei chee. 430k

:kumbuka pia Simu nyingne za kisasa zipoo kwa bei nzuri, nitafute mzee wa kuvunja bei ujipatie simu kali, mpyaaa na original kwa bei ya maelewano.

# 0654776976
#vieloon@gmail.com
vipi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom