Recent content by Mtuwamungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Ndupu zangu tusidanganyane, hakuna PhD inayotolewa bila kuandika andiko (dissertation). Wanaopata doctorate za heshima hawahesabiwi kama wana PhD. Kwa maana hiyo Kikwete kwa mfano hana PhD. Hivyo tofautisheni mtu kuwa na PhD na kupewa u daktari wa heshima. Hivi ni vitu viwili tofauti.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Mpendwa rudia kusoma. Tamko sio la kanisa moja. Ingawa limesomwa na Askofu wa KKKT, tamko hilo limeandaliwa na viongozi wa makanisa yote ya Kikristo nchini (RC likiwemo). Askofu Shao alisomo kwa niaba yao tu. Ubarikiwe!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Well said. Can't agree with you more. Mwenye masikio ya kusikia na asikie ujumbe wako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hakika saa ya ukombozi imefika. Hongera kamanda Lema. Hongera Chadema. People's power! Asante Mungu kwa matokeo haya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

    "Bwana ni Mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. ... Hata niwapo katika bonde la uvuni wa mauti, yeye hunilinda" (Zaburi 23).
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 CCM "wamechakachua" picha

    Hakika siku ya nyani kufa miti yote huteleza!
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.

    Zamani nilipokuwa shule nilifundishwa kuwa ukibishana na mjinga watu hawataweza kutambua mjinga ni yupi. Kwa ajili hiyo nimeamua kukaa kimya ili wana JF watambue kwa urahisi mjinga ni yupi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 PICHA: Kampeni za Slaa jijini Dar es Salaam leo

    Eeeeee Mungu wa Mbinguni. Tunaomba kwamba uwape watu wako wa Tanzania busara na hekima ili wapige kura ya kuleta mabadiliko katika nchi. Tuwezeshe kuiondoa nchi hii kutoka mikononi mwa mafisadi na kuirudisha mikononi mwa mwananchi wenye nchi. Eee Mungu tuondoe MIsri Utumwani utuingize Kanaani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa nini mikoa inayoikumbatia CCM ndiyo maskini zaidi?

    Ndugu yangu umesema sawa, maana hata Kawawa alitoka mikoa ya Kaskazini na hakuwa wa dini ya Kiislamu. Ndiyo maana hakusaidia maendeleo ya mikoa ya Kusini. Pili, maendeleo yaliyoletwa na serikali ya awamu ya pili yaliharibiwa na na rais wa awamu ya tatu ambaye pamoja na kuwa alikuwa anatokea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Hali ni tete..

    Hahahaaaaaaa!!! Kichuguu, hata Luteni Kanali ana mwili kama binadamu wengine. Kwa maana hiyo naye anaogopa kifo. Isitoshe tunajua JK tayari ni legelege. Kuangukaanguka kwake ni uthibitisho wa ulegelege wake. Luteni Kanali gani anaangukaangauka hovyo kama yeye? Hilo moja. La pili ni hili. Wewe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

    Mzozaji, Umenifaa mno yaani. Asante sana. Leo nitapata usingizi mzuri na wa amani kwa kuwa sina shaka kwamba Mungu amesikia kilio cha Watanzania na kuwaletea mkumbozi Dr Slaa. Octoba 31 nikiamka tu nitakwenda kituoni kupiga kura kumthibitisha Dr. Slaa kuwa rais wa wa 5 wa Jamhuri ya Muungano...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

    Vitabu vyote vya dini, Kuran na Biblia vinamtaja Musa kama Nabii wa Mungu. Kwa hiyo Musa ni wa wote. Kutaja jina hilo hakubagui mtu wa dini yoyote kati ya Uislamu na Ukristo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 CCM inakwangua fedha serikalini kwa ajili ya kuwanunua wapiga kura

    Eeee Mungu wangu wee nakulilia uiokoe TZ na watu wake. Tenda muujiza kwa kuwaamsha WaTanzania kuiondoa CCM madarakani kwa njia ya kura hapo Octoba 31.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa 'yu hoi' Monduli

    Lowasa hata kama ana nguvu kumshinda shetani, lakini hana nguvu ya kumshinda Mungu ambaye anajidhihirisha katika nguvu ya wapiga kura waliochoka kuonewa, kupuuzwa na kunyonywa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Slaa apata mapokezi makubwa Chato

    Mbunge wa CCM akifukuzwa kwa kuwa ameungana na serikali ya Dr Slaa kutetea maslahi ya taifa, atakuwa na nafasi ya kujiunga na Chadema na kugombea tena katika jimbo lake na bila shaka wananchi watamchagua tena. CCM wakimfukuza mbunge kwa sababu kama hii wakupoteza ni wao. Na kumbuka wakati huo Dr...
Back
Top Bottom