Recent content by mtupori2010

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu, nakependaje

    NIMESOMA HISTORIA YA UJERUMANI NA JINSI DIKITETA HITLER ALIVYOINGIA MADARAKANI. 1. ALICHAGULIWA BAADA YA KUONEKANA MTETEZI WA MASIKINI. 2. MAMBO MENGI ALIYOFANYA MWANZO WA UTAWALA WAKE YALIKUWA MAZURI KWA WAJERUMANI WA WAKATI HUO WAKAUNGA MKONO JUHUDI HIZO KUMBE WANAJICHIMBIA KABURI. 3. SHIDA...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Darasa: Hivi ndivyo mwananchi anayetumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi anavyoumia na gharama za umeme wa TANESCO

    Tariff hii ilibuniwa na serikali kuwapa unafuu wananchi masikini wa vijijini (Rural areas) ambao hawana njia za kiuchumi kama waishio mijini. Tatizo likaja nanma ya kuwabaini na kuwaweka kwenye kundi lao, hivyo kikawekwa kiwango cha 75KWH ambacho hats was mijini wakipunguza mahitaji yao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

    Mpeni maelekezo atakapomaliza kesi yake. Inasemekaha hata marehemu Dr Walid Kaburu aliondoka Tanzania baada ya kuchana bendera ya Taifa alipokuwa akisoma Kigoma sekondari. Alipewa adhabu kwa kukataa kusimama wakati ikipandishwa kwenye flag raising za kila jumamosi. Aliporudi, akiwa msomi watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

    Hatuna shirika la ndege na ndege zenye kukidhi vigezo. Utapeleka bombadia - daladala za manzese kariakoo??????
  5. M

    JamiiForums Tanzania KWA NINI NAMWONA MH UHURU KENYATTA NDIYE RAIS MVUMILIVU.

    Barbarosa Katika wajinga NI we we usiyeweza kusugua nyuzi za fikra kichwani mwako. KUNA WALIOZALIWA KUWA 'NDIO MZEE" nadhani were NI MMOJA WAO. TATIZO SIO WEWE NI UFINYU WA UFIKIRI WAKO. HOJA HAILAZIMISHWI, HUJIBIWA KWA HOJA. COME UP WITH A CHALLENGE NOT SIMPLE WORDS ILI UONEKANE NA WEWE...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KWA NINI NAMWONA MH UHURU KENYATTA NDIYE RAIS MVUMILIVU.

    Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka. 1. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake. Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU ameona anayetaka kuirudisha Kenya ICC. 2. Rwanda baada ya genocide hakuna mahali democrasia ingeweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marais wavumilivu Afrika Mashariki

    Asante Puncler. Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake. Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU ameona anayetaka kuirudisha Kenya ICC. Rwanda baada ya genocide hakuna mahali democrasia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Marais wavumilivu Afrika Mashariki

    KUNA WAKATI NILIANDIKA MAKALA HII YA MARAIS WAVUMILIVU AFRIKA MASHARIKI FACEBOOK. NILIYEMPA NAFASI YA KWANZA NI MH UHURU KENYATTA. Orodha yangu ilikuwa hivi. 1. MH Uhuru Kenyatta 2. MH Paul Kagame 3. Mh kaguta Yoweri Museveni 4. Mh John Pombe Magufuli 5. Mh Pierre Nkuruzinza. Kipimo changu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tumeanza kujitambua?

    Nampa hongera MH.Uhuru Kenyatta. Ndiye rais mvumilivu kuliko wote afrika mashariki. He is the most tolerant president in east africa. Tuna cha kujifunza kutoka kwake pamoja na ukweli kwamba, amezaliwa na kukulia ikulu. He has a lot of lessons to teach us.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbona watoto wa Rais Magufuli siyo maarufu kulinganisha na watoto wa Kikwete?

    Hawajaona fursa bado wana ushamba wa chat!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Mh Tundu Lissu

    Nimesoma uzi huu na kutafakari nashangazwa na baadhi ya wachangiaji walivyo na mawazo mgando. NIWAKUMBUSHE MABADILIKO HAYAJI KWA KUOMBA KANISANI NA MISIKITINI, BALI KUTOKA KWENYE VICHWA TUNAVYOVIONA TOFAUTI. WENYE KUSUBIRI MAJIBU YA SALA ZA MISIKITI NA MAKANISA BASI WATAPUUZA HATA MAWAZO...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha nyuma ya sanaa ya Erick omondi ?

    Ni mjaluo kutoka tarime
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaomba kuchukua anga la Tanzania

    ATC kilimanjaro ilitekwa enzi ya Mwalimu na ilirudishwa bila kulipa zaidi ya mafuta ya viwanja walivyotua. Cha kushangaza Magee memba alihukumiwa uingereza alilomaliza kifungo akapewa hadhi ya ukimbizi baada ya Oscar Kambona kudai ni mfuasi wake. Oscar Kambona alikimbia TANZANIA 1967 kabla...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaomba kuchukua anga la Tanzania

    Baada ya kuvunjika kwa EAC tuliokuwa tukichangia njia za kimataifa, kila nchi ilianzisha shirika lake la ndege tukalazimika kununua ndege mya Boeing 737 mbili. Kilimanjaro ilitekwa tena kwa bastola kinyago ya kuchonga kwa mpingo ikapelekwa mpaka Uingereza 1971 na mpuuzi tu aliyejiita Membalee...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaomba kuchukua anga la Tanzania

    Tusiwe wajinga wa midomo na siasa. Air licences inaombwa na inatolewa na mamlaka inayohusika. TANZANIA tulipewa leseni za air route TUNASHINDWA kuwa na ndege za kuhudumia hizo njia, Rwanda wameomba njia tulioshindwa kupeleka ndege tangu ndege yetu ya masafa ilipotekwa ikapelekwa LONDON...
Back
Top Bottom