Recent content by Mtumlima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

    Hao makomandoo wa nin? au ndo wanalinda muungano.!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yalaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF)

    Serikali ni nani? sirikali mbwa koko!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo 9 yaliyofanya Kikwete alitikise Bunge

    JK alikua dhaifu haipingiki lakini JPM anaonekana kua dhaifu zaidi! "kwenye mbio za panya anaeshinda bado ni panya."
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    kweli ccm ina wenyewe! ngoja tuisome namba..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidiwa umaarufu na Mh.Tundu Lissu

    namkubali sana! T.A.L (The Learned brother)
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mtungi aijuaye kata

    Mlamba nyayo!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anayeamini kuna vita ya kupambana na madawa ya kulevya nampa pole

    me naona jamaa wanataka kupandisha bei ya unga! wanaouza ndo haohao wanaopiga vita. kuna teja mmoja jana kanambia bei imepanda maradufu kutokana na harakati za makonda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

    Mbishi anakwambia jamaa ni jipu! na ni kweli babu taleNT
  9. M

    JamiiForums Tanzania Theresa May: US and UK will no longer invade foreign countries 'to remake the world in their own...

    So what! wew mlamba nyayo tu..uyui kuna gap eneza propaganda wakuteue!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

    Duke ananipagawisha kwa kusuka beat za tamaduni musik..bt na j rider wa tongwe nae mkali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    1 nik mbishi 2 stereo 3 one incredible 4 fid q 5 wakazi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba za John Magufuli vs John Kennedy

    unafananisha marashi na ushuzi(respectively)
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaupoteza muda wenu kushabikia siasa mnachotegemea hakitakuwa ng'o, wekezeni sehemu nyingine

    "Sycophant followers" endelea kujipendekeza kwa watawala wakupe shavu! sisi tunapigania mabadiliko ya kisiasa,kiuchumi na kijamii..ata CHADEMA wasipoleta mabadiliko nao tunawapinga! Usiwe mlamba nyayo kisa ajira au pesa ya mda mfupi! Tunataka mfumo ambao wote tutanufaika..
Back
Top Bottom