msikilize John Kennedy:
msikilize John Magufuli:
..kwa maoni yangu Raisi wa nchi anatakiwa kuwapa moyo na kuwatia shime wananchi wake kama anavyofanya Raisi Kennedy ktk hotuba yake aliyoitoa Rice University.
..hata ikiwa itabidi "kuwapasha" wananchi wake,Raisi hatakiwi kutumia kauli za kulaumu, kushutumu, au hata kudhalilisha.
..Raisi Kennedy aliwahi kuwapasha wananchi wake alipowaambia "ask not what america can dof for you, but what you can do for your country."
..naamini taifa litafaidika zaidi kama Raisi wetu atakuwa na kuali za kuwaunganisha wananchi na kuwatia shime wa-Tz kufanya mambo makubwa kwa faida ya taifa letu.
cc Mag3, MsemajiUkweli, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Nyani Ngabu, chige, Mdondoaji, Bukyanagandi, Nzi