Recent content by mtumbatumtindiga

  1. M

    Mashindano ya dunia ya Quran kufanyika Diamond Jubelee leo Jumapili

    Kweli kazi mnayo, mnaitana dunia nzima kwa lengo la kushindana kukariri! Afadhali mngekusanyika kushindana kuelewa imani ni kitu gani na ni kweli imani hiyo itawasaidia. Pengine mngekuwa na sababu ya kufanya hivyo. Vinginevyo inaonyesha mnahangaika tu.
  2. M

    Iko wapi Cement ya 8,000/=? Nataka nianze ujenzi

    8000 kwa serikali ya nani, hihii ya mafisadi? ndoto za alinacha hizo.
  3. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kuna kitabu kimoja cha imani kinatumia jini albadri kudhuru watu. Je, huyu ni mungu ndiye anafanya hivyo? Kama ndivyo mungu wao ana mahusiano na ushilikina?
  4. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    kwa nini baadhi ya kitabu cha imani fulani kinatumika sana kwenye ushirikana, je kina uhusiano na ushirikina?
  5. M

    Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    usiwalaumu TCU bure. Wewe angalia nature ya watu kama ni watu wa kuelewa. Waachie chuo chao. Ukitaka TCU walazimishe unataka maandamano matakatifu.
  6. M

    Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Waache waendelee na chuo chao. Wenzako wanadhani elimu ya chuo kikuu ni sawa na madrasa. Achana nao unajisumbua bure. kuendelea kuwaambia ni sawa na kupiga ngumi ukutani ambapo utaumiza mkonowe.
  7. M

    Gesi asilia kuendelea kumnufaisha mtanzania

    unaleta mada ambayo haina maelezo ya kutosheleza na wala haiendani na kichwa chake. Ebu dadavua vizuri kile unachotaka kusema.
  8. M

    Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Lengo lako hasa nini, unatafuta nini kwa kusema hivyo? saudia inautakatifu gani? Au unataka kushindana na wayahudi kwa umaanisha kuwa waislamu nao wananchi yao takatifu? Kwa nini mnaonekana mnatumia nguvu sana kulinda uislam, nini shida? kweli chema cha jiuza kibaya chajitembeza.
  9. M

    Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

    Wewe kinakuuma nini? kumbuka siku zote watoto wa nyumba kubwa ndio warithi na sio watoto mwalabu mjakazi. Tatizo ni ugomvi wa nyumba kubwa teule na nyumba ndogo ya mjakazi aliyepekwa kuishi jangwani.
  10. M

    Aina za majini na kazi zake

    Kwa hiyo kuisoma albadili ni kulipunga hilo jini albadili kwa maana ya kulituma kwenda huko wanakolituma? kama ndivyo huyo ni mungu wao Alla au shetani?
  11. M

    Andiko la Kikwete kuelekea maadhimisho ya siku ya malaria duniani

    kwa hiyo ndio kumpa dhahabu yetu Bushi ili atupe vyandarua.
  12. M

    Tanganyika hatuji kupata Rais bora kama Kikwete

    Tunachosema marufuka kuanzia sasa na milele yote kiongozi wa nchi kutoka pwani. Wao tutawaanzishia mashindano ya taarabu na watatuwakilisha huku kimataifa na bila shaka tutapata medali nyingi za dhahabu.
Back
Top Bottom