Mashindano ya dunia ya Quran kufanyika Diamond Jubelee leo Jumapili

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Ndugu wana jamv
Kwa wale waislam mnakarbishwa katk mashindano ya dunia y kuhifadh quran ambapo nchi mbali mbali zitashiriki,
Lakin kikubwa zaid njoo umshuhudie mtoto wa miaka nane kutoka twajikistan na wamiaka tisa kutoka bangladesh wanavyoshindana katk kuhifadh quran.

Mashindano yataanza saa mbili na nusu asubuh n kuisha saa saba mchana
Ahsanteni
 
Inshaallah.Lakini mashindano makubwa kama haya kwanini yasitangazwe vya kutosha?
 
jazakallah kheyr,asante kwa taarifa natamani lau ningalikuwepo DAR ningaliudhuria.
 
Ndio uje usikilize hiyo Quran inasemaje kuhusu huo wimbo wako.
Kweli kazi mnayo, mnaitana dunia nzima kwa lengo la kushindana kukariri! Afadhali mngekusanyika kushindana kuelewa imani ni kitu gani na ni kweli imani hiyo itawasaidia. Pengine mngekuwa na sababu ya kufanya hivyo. Vinginevyo inaonyesha mnahangaika tu.
 
Asante kwa Taarifa.
Ila sikuona umuhim wa Ku promote na kuhamasiha watu waje kwa ajili ya kuwaona hao watoto wa Kibangladesh au Tajikistan bila kusema wanashindana kwenye level ya Juzuu Ngapi.

Maana wapo watoto wadogo sana chini ya hapo hapa Tanzania wanafanya vizuri sana tu.
Mungu awajaalie Qur`aan iwakae kifuani na kiimani.
Waislam tuache kulalamika sasa,haya mashindano ni Makubwa sana ni kama ile Ijitmai ya Zanzibar,ambapo watu hata kuchangia ilikuwa mbinde.

Sasa mashindano kama haya,hata watu wakiambiwa kuchangia basi kila mmoja mbishi,halafu kesho yake unalaumu Ukristo.Mfano ni Sala ya ijumaa tu kwenye kutoa sadaka unakuta Coins teleeee,halafu watu wanataka Uislam upige hatua,Kueneza dini sio kitu chepesi kwa kupiga mdomo tu wakati tumeambiwa tujitoe kwa Hali na mali.
Sasa Tv kuonyesha inahitaji watu watoe pesa za kurusha matangazo hayo
 
Back
Top Bottom