Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Chuo gani usisomea utafiti wako huu? Ama ulizaliwa tu na kipaji cha utafiti?
Kitonga inaweza kuwa mlima au mteremko mkali kutegemea unatokea wapi.Salaam wanajukwaa,
Najua wengi mtabeza sababu ya hizi nguvu za soda wengine mtasema kwanini asiwe Nyerere na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka Mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa Nyerere na wengine na ambao niwengi zaidi bado wanaamin Mwinyi hakuwa bora.
Nianz na list ya marais kwa kuzingatia ubora;
1* Jakaya Kikwete
2* Ally Hassan Mwinyi
3* Mkapa Benjamin William
4* Magufuli Pombe Joseph
5* Nyerere Julius
Sitaki kuwa msemaji pekeyangu kwa hili karibuni tuchangie
Ukweli wa utafiti huu sio wote wataelewa leo Nwengine nauhakika wataelewa wakiwa wamekufa.
salaam wanajukwaa.....
najua wengi mtabeza......sababu ya hizi nguvu za soda......wengine mtasema kwanini asiwe nyerere.......na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa nyerere......na wengine na ambao niwengi zaid bado wanaamin mwinyi hakuwa bora........
*****************************************
nianz na rist ya marais.........kwa kuzingatia ubora
1*jakaya kikwete
2*alihasan mwinyi
3*mkapa benjamin wilium
4*magufuli pombe joseph
5*nyelele julius
*****************************************
sitaki kuwa msemaji pekeyangu kwa hili......karibuni tuchangie......
*******ukweli wa utafiti huu sio wote wataelewa leo....wengine nauhakika wataelewa wakiwa wamekufa......
Chini juu au?
Tunachosema marufuka kuanzia sasa na milele yote kiongozi wa nchi kutoka pwani. Wao tutawaanzishia mashindano ya taarabu na watatuwakilisha huku kimataifa na bila shaka tutapata medali nyingi za dhahabu.Zingatia uandishi sahihi wa majina yao tafadhali.
Yale matokeo ya Form 4 yaliyofutwa na kusahihishwa Upya mpaka leo huwa naamini ndio yalikuwa matokeo sahihi kabisa.
hahahaaaaaTumekuelewa graduate wa madrasa.
amna hiohio ndo yenyewe mkuukwahiyo sahihi mnatak iwe upsidedown???
Hapana huyu kaathiriwa na mhashamu pale kigangoni,ai unajua tena wanavyoharibu vijana wetuTumekuelewa graduate wa madrasa.