Recent content by Mtu_Mzima

  1. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Hebu fikiria, KATA NZIMA WANAITAKA. JAMANI ! HAKUNA DIWANI WALA MBUNGE ALIEKUJA KUONANA NA WANANCHI.
  2. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

    Hili swala lina ukakasi mwingi sana. 1 . Upande wa serikali wanaongea kama wawekezaji wanao na wanawajua na kiwanja watakachotaka kuwekeza. Kama ni hivyo basi hii itakuwa skendo ya mwaka. 2. Maeneo mengi ya sinza yana chemchem za maji na ni maeneo machache sana mazuri kwa ghorofa. Sasa hizo...
  3. Mtu_Mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Tuma picha ya huyo anaekusumbua hivyo tumjue
  4. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

    Ninaweza nikahisi lengo la swali / hoja pendekezwa yako; ila umesahau sana kuwa kwa kuandika hivyo ni kama kumtuma mtu akaonje maji ya bahari mtwara, mafia, Dar, Tanga, Pemba, Zanzibar nk na unatazamia majibu yafanane kwa kuwa yote ni bahari ya hindi. Kua uyaone!!
  5. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sehemu nzuri ya utalii Morogoro na Arusha

    Swali ni la jumla kidogo. We unapenda nini? Utalii wa kupanda milima? Utalii wa kitamaduni na kuona maisha ya wenyeji? Utalii wa kuona wanyama kwenye mbuga au zoo? Utalii wa kutembea mjini? Utalii wa usiku? Utalii wa uwindaji? Utalii wa misitu? Orodha ni ndefu mkuu !!
  6. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi ni sahihi Wanafunzi wa shule ya msingi kwenda shule saa 12 asubuhi mpaka 12 jioni?

    Sio sahihi bali uchaguzi wa wazazi kuchagua shule za mbali ni sababu mojawapo. Pia ratiba za shule zinawabana watoto haswa wenye ufaulu mdogo kuunganisha na tuition baada ya masaa ya kawaida ya masomo.
  7. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mliahidi zile mita za kuongeza salio moja kwa moja kwenye mita kila unaponunua umeme!
  8. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Squit ? Mikojo hiyo, hamna lolote

    Ungekuwa mkojo ungekuwa na harufu sana maana kuna wanaorusha vya kutosha!
  9. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yafunga mfereji wa Hormuz kusafirisha mafuta kwa meli za Marekani, Israel, Ulaya na washirika wao

    Mbona kwenye ramani UAE na wenzake nao wana haki ya umiliki? Umekuwaje wake peke yake?
  10. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu huondoka bila kurudi wala kuwasiliana na ndugu kwa miaka mingi?

    Nilimwona mchaga wa moshi kirua vunjo hapo sinza aliondoka kwao mwishoni mwa miaka ya 70 na hajakanyaga tena makwao. Yuko tu hapo nyuma ya msikiti wa palestina kwenye mabati anarost mihogo yake. Mpaka unahisi kapigwa kafie mbali na wadau wake.
  11. Mtu_Mzima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana, ila kila nikigusia ndoa, ananijibu kwa upole, 'Subiri kidogo'. Sasa nataka kuoa aliye tayari wakati huu!

    Sijui wewe ni jinsia gani ila kama ni mwanaume wewe hakikisha mwanamke wako anakupenda saana na anaogopa kukupoteza. Hivyo atakuheshimu na kukusikiliza na atakutii. Mtihani wa kwanza keshafeli. Wewe ni namba 2. Anasubiriwa namba 1 aconfirm kama yupo tayari kuchukua jumla. Akijua hana mpango...
  12. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Hoja nyingine za ajabu. Au ndo kusema uislam ulikuwepo kabla ya mohammad? Au kabla ya Jackobo? Au mohamned aliishi kabla ya Jackobo? Ni kwanini waislam kila siku ni kutafuta hoja kinzani na ukristo? Mbona wakristo hawahangaiki na uislam ? Au tunye hapa haja kubwa ya kunuka mkeka uharibike?
  13. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam vipi tena?

    Inakaribia sasa wiki sasa bila taarifa kwa wateja channel za Upendo na Joy Tv zimeondolewa king'amuzi cha Azam. Hii imetokana na nini? Anayejua atujuze tafadhali maana hiyo ilikuwa sababu mojawapo ya kununua king'amuzi hicho. Kama vipi tujue la kufanya.
  14. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa

    Combi za PCM, PCB ni mara chache sana kupata walimu wazuri kwa masomo yote matatu. Achana na shule, ufaulu unategemea mambo mengi mfano. 1. Huko o level ulitafuniwa au una msuli wa kupiga topic bila mwalimu? A level utapiga msuli wa kutosha. Material ni mengi. 2. Ufaulu unategemea uwezo wenu...
  15. Mtu_Mzima

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    Pole, labda mahitaji ya biology yalikuwa machache
Back
Top Bottom