Recent content by Mtu-Pori

  1. Mtu-Pori

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Mkuu, binadamu wana tofauti, hawafanani. Kile ambacho wewe unakiona cha ajabu, kwa wengine wanaona si ajabu. Huo "usahihi" unautafsiri kutoka kwenye mwongozo upi? Isijekuwa utashi wako na preferences zako unataka ziwe za wote. Kuna mambo ambayo wewe unayafanya na unayaona ni "sahihi" kwako ila...
  2. Mtu-Pori

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Ili usipate kero kama hiyo, achana na kuangalia status za watu. Kwani zinakuingizia kipato chochote? Nenda kapige kazi. Mimi kwa siku huenda nisiangalie status hata moja. Nikiangalia nyingi kwa siku hazizidi 3. Kwanza unatafuta nini kwenye status za wanaume wenzio?
  3. Mtu-Pori

    Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Sijui kama mtoa mada ushaweka huo mfumo au ulighairi. Kabla hujafunga, nenda pale DIT onana na mtu anaitwa Gurti. Ndiye mtaalamu wa huu mfumo. Mtashauriana kabla hujaamua la kufanya. Unapofunga huu mfumo, hakikisha plugs zako ni original. Pia zipo plugs maalumu kwa CNG. Plugs zinazoendana na...
  4. Mtu-Pori

    Kluger engine kubwa six cylinders (cc 2900)

    Bei elekezi ni 2.5mil, inategemea pia na ukubwa wa injini.
  5. Mtu-Pori

    Kluger engine kubwa six cylinders (cc 2900)

    Kama ni mkazi wa Dar nenda pale DIT ukaongeze mfumo wa gesi. Utaipenda upya gari yako. Gari yangu ni ya 1800cc. Bajeti ya gesi kwa wiki ni kati ya sh 23000/- hadi 45000/-. Wiki hii nikijaza mara 2 basi wiki ijayo nitajaza mara moja. Kwa wiki ninatembea 300km.
  6. Mtu-Pori

    Bodi ya bajaj inayotumia gesi vs bodi ya bajaj inayotumia petrol

    Sijui kwa upande wako hizo zilizochoka umezionea wapi. Barabara ninazopita kila siku kwenda kazini na kurudi (Morogoro na Mandela) huwa naona bajaj za gesi ndio mpya na zina body safi sana kuliko za petroli. Na zina mwendo mzuri tu. Labda huko ulikoziona huwa wananunua kwa hawa ambao wamezitumia...
  7. Mtu-Pori

    Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Mkuu, kila mmoja ana mapito yake katika maisha na hayafanani na ya mtu mwingine. I wouldn't draw conclusions on behalf of others when I know absolutely nothing about them or their endeavors. Everyone has a different path, that doesn't necessarily equate to yours. Kile ambacho wewe tayari...
  8. Mtu-Pori

    Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Sisi wengine tunahitaji ushauri kama huu kwa kuwa hatuna uzoefu wa biashara. One man's trash is another man's treasure.
  9. Mtu-Pori

    Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

    Huwa unatumia akili hii hii kuvuka barabara au kuna nyingine?
  10. Mtu-Pori

    Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Inawezekana kabisa. Mimi nilinunua gari toka Japan 2014 na lilikuwa limetembea 93,000km. Zaidi nilikuwa naitumia kwa kwenda kazini na kwa siku nilikuwa ninatembea 22km kwenda na kurudi. Kazi yangu haikuhitaji kwenda kila siku. Mara nyingi nilikuwa naenda mara 3 kwa wiki na wk'nd kutoka mara...
  11. Mtu-Pori

    Mambo yanayokatisha tamaa kuwapa lifti baadhi ya watu

    Kuna watu wawili ofisini yaliwakuta haya. Wa kwanza aliwapa lift wanafunzi wa sekondari, wakashuka na laptop yake. Wa pili aliwapa lift watu tu barabarani. Akafika mahali akaingia dukani mara 1. Aliyekuwa kakaa 'siti' mbele akabeba simu ya aliyewapa lift. Kuna mmoja nilikuwa nampa lift, akishuka...
  12. Mtu-Pori

    KERO Leo mjini foleni balaaa

    Nyingi sana.
Back
Top Bottom