Kluger engine kubwa six cylinders (cc 2900)

Kluger engine kubwa six cylinders (cc 2900)

Gari zenye CC 2500 nakuendelea hizi zinafaa Sana safari ndefu, Miji yenye foleni kama DAR hata Sisi tunaotumia CC 2000 ni majanga pia kwenye wese
 
ARUSHA mafundi wapo wengi tuu waku swap hiyo engine nyingi tuu wamezibadilisha hata Harrier zilizokuja na V6 wamezibadilisha
 
Sasa Kama Freelander watu wanakuwekea 3S na inakaa vizuri tuu
 
Kama ni mkazi wa Dar nenda pale DIT ukaongeze mfumo wa gesi. Utaipenda upya gari yako. Gari yangu ni ya 1800cc. Bajeti ya gesi kwa wiki ni kati ya sh 23000/- hadi 45000/-. Wiki hii nikijaza mara 2 basi wiki ijayo nitajaza mara moja. Kwa wiki ninatembea 300km.
 
Gharama zipoje Mkuu
 
Mnataka aliuze, sasa amu uzie nani ilo janga labda akawakamate wasukuma huko. Samahani sana shemeji zangu wasukuma
Akauze kwa wachina haswa wale wa mikoani wanazipenda hizo gari
 
Back
Top Bottom