Recent content by mtu na mtu

  1. mtu na mtu

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    aise pole sna ila fanya kitu kimoja ebu ukifika kwako chukua karatasi andika matatizo yako yooote uliopitia ktk maisha yako ambayo yamekataa kukutoka na ukimaliza fanya iwe dozi uyasome kila siku unapotaka kulala ndani ya siku 21 maana maneno yaliyoko kwenye karatasi huw yanasahaulika mapema...
  2. mtu na mtu

    Ufafanuzi dhidi ya tamko la RC Makonda ya kuhamisha magari Kigamboni

    Nin logic ya kuhamia kigamboni hasa yard zote
  3. mtu na mtu

    From a Guest to a Member.

    wao kumbe ni kitomyboy nilkuwa nataman itokee tomy boys humu humu maana kuna watu walinibishia eti siwawezi sasa nataka nianze na huyu afu ntawaletea mrejesho wana jamvi humu humu.
  4. mtu na mtu

    Kijana wenu hapa naomba ushauri.Nifanye nini?

    ha ha ha networking market unatengeneza hela za bure na nying ukiwa umekaa tu kikubwa unaingiza watu na unapata kamishina yako, ha ha ha brother pole
  5. mtu na mtu

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    aise muache tu, afu uje kwangu ntakushirikisha hadi pensi niliyonunua jana
  6. mtu na mtu

    Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

    KWANI WAO SIO BINADAMU MBONA MNALETA UBAGUZI WA KIPUUZI , UKICHAA NI UGONJWA KAMA YALIVYO MAGONJWA MENGINE SASA KAMA MKE WANGU ALKUWA MZIMA BAADAE AKACHIZIKA NTASHINDWAJE KUMBANDUA KAMA KAWAIDA ACHANE HIZO BINADAMU WOTE NI SAWA MBELE ZA IUSO WA MUNGU
  7. mtu na mtu

    Sijawahi kuwa na msichana mzuri tatizo ni nini?

    AISE KWA AKILI HII UNA SAFARI NDEFU SNA KUFIKIA NEEMA YA UTAMBUZI NA UFAHAMU KAZANA UNAWEZA FANAKIWA
  8. mtu na mtu

    Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

    ha ha ha huyu atakuwa kamaliza chuo ametafta kazi na ametuma cv nyingi hajaitwa kokote sasa ameanza kuogopa na kuona hajui kuandika cv ata akigogle hata elewa na hata amin kuwa ni format nzuri acha aliwe ataacha baada ya kutuma hata hyo na bado asipata kazi apo ndo atakuja kuamin time and...
  9. mtu na mtu

    Kazi unayoifanya uliipanga tangu utoto?

    Mkuu tatizo ni changamoto za maisha ambazo mtu huwa anapitia kumbuka wazazi wetu wengi maisha yao ni duni na vitu unavyovitaja utotoni kuvifikia vinahtaji gharama ambazo wao hawawezi kuzimudu.
  10. mtu na mtu

    Ushauri: Kaolewa mwaka wa tatu sasa mume ni muhuni, anamnyanyasa na anafukuza

    AISE YAAN UNATUMIA NGUVU NYINGI KUVUNJA NDOA Y DADA YAKO KWA KISINGIZIO CHA MANYANYASO AMBAYO YY MWENYWE KARIDHIKA NAYO KWANI WW HUNA MICHEPUKO ACHA AKILI ZA KUSHIKWA NA WW
  11. mtu na mtu

    Wanawake wanapata wapi ujasiri wa kutongoza?

    haa ww kama haujapkutana na bahati hyo ni ww tu ila wapo wengi mm nathibitisha hilo na nimeweza kukaa naye zaid ya miaka minne hiv ndo tumekuja kuachana
  12. mtu na mtu

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    ha ha ha ha kuna rafiki zangu kadhaa siku hizi utasikia wanasema ntakosa imani na CDM kama tundulisu akihama, ila lowasa kwa mm japo ni mtu sikumpenda kuingia chadema ila kwa kitendo cha juzi sjaona kosa lake maana ka specify kabisa baadhi ya vitu alivyo sifia na hakusema vyote kwa huyo Mbowe...
Back
Top Bottom