Recent content by Mtu Mmoja

  1. M

    Damian Kanuti wa ITV afariki dunia

    poleni wafiwa, RIP Damian
  2. M

    Nicheke au nilie?

    hii ni hadithi tu, siyo kweli!
  3. M

    Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    pole sasna mkuu, Mungu akujaalieni faraja na utulivu wakati wote wa mazishi na maombolezo!
  4. M

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    mheshimiwa dalali at work! muwe mnalipa basi hata commission hapa Jf kwa matangazo yenu, mbona nyie hamumpeleki mteja kuoina nyumba hadi "awafungue miguu"? eti wengine mnaita hela ya usumbufu, usumbufu wakati ndiyo kazi yako! huo ndio wizi wa mchana kweupe! hahahaaa umenikumbusha enzi nikiwa...
  5. M

    Kama una milioni 15,500,000/: nitafute haraka upate nyumba nzuri ya kuishi bunju B

    mkuu, nahisi we hujamwelewa judith, mtoa mada kasema milioni 15,500,000/- yaani milioni milioni kumi na tano na nusu au 15,500,000,000,000/- in figures! hizo si mil 15.5 tshs, bali trilioni 15.5 tshs., ni sawa na bajeti ya serikali karibia ya miaka miwili! ndo maana judy akauliza, hizo si...
  6. M

    Tatizo la infection katika damu

    wakuu, madaktari bado kupita mitaa hii?
  7. M

    Tatizo la infection katika damu

    wakuu, hapa JF Dr kunana uzi huu: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/210330-tonses.html Dr Nguruvi3 alikuwa amemjinu mtoa mada kama nilivyoquote hapo chini: sasa mheshimiwa Dr. Nguruvi 3 na wengine naomba kujua zaidi hapo kwenyered. Nina mtoto wa miaka mitatu sasa na amekuwa...
  8. M

    Keren-Happuch: My new Year Messege

    asante sana dada kwa ufafanuzi. huyo kijana ELIHU kwenye kitabu cha Ayubu, hata mimi namkubali sana. aliongea mambo mazuri sana ya hekima kubwa sana. asante kwa somo zuri na Mungu akubariki heri ya mwkaa mpya 2012
  9. M

    Maana na tofauti ya "waathirika" na "wahanga"

    hakuna tofauti, nisome taratibu tu utanielewa mkuu
  10. M

    msaada wanajf kuhusu haya maneno!

    mantiki ni moja ila matumizi ni tofauti, kwa kingereza ona- see tazama-look angalia-watch nadhani tuko pamoja sasa
  11. M

    Maana na tofauti ya "waathirika" na "wahanga"

    1. wahanga, waathirika wa moja kwa moja 2. waathirika inajumuisha wale wa moja kwa moja na wassio wa moja kwa moja mfano, wahanga wa mafuriko ni waliokosa makazi, waliofariki kwa kuzolewa na mafuriko nk. lakini waathirika wa mafuriko ni wale waliopoteza makzi, maisha, mali zao nk pamoja na...
  12. M

    Anataka kujua neno "happy Christmas" kwa kiswahili

    chrismass (x-mass) ni Christ-mass au kusanyiko (misa/ibada) la Kristu kwa kiswahili
  13. M

    Anataka kujua neno "happy Christmas" kwa kiswahili

    1. heri ya noeli ni blessed chrismass , 2. happy chrismass ni furaha ya noeli kwa kiswahili (au noeli yenye furaha). 3. fanaka ni mafaniklio, kwa hiyo fanaka ya noeli ni sawa na kusema prosperous chismass!
  14. M

    Tanzia

    asanteni sana wakuu
Back
Top Bottom