Damian Kanuti wa ITV afariki dunia

Damian Kanuti wa ITV afariki dunia

moderators mngebadili kichwa cha uzi kisomeke DAMIAN na si DANIEL...
 
R.I.P. Kanuti. Dodoma and ITV viewers will miss you!
 
R.I.P Damian kanuti pumziko la milele umpe ee Bwana apumzike kwa amani.
 
Japokua kifo kina umri sawasawa na umri wa viumbe hai duniani, lakini hakijawahi kuzoeleka miongoni mwa binaadam, na kila kinapomchukua mhanga wake binaadam tunashtuka! RIP Brother Kanuti, tutaukumbuka sana mchango wako katika Tasnia ya habari!
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe! you played your part bro, RIP!
 
Pole sana wafiwa kwa msiba mkubwa mliopata...kazi ya Mungu.
 
Mwandishi wa habari ITV na radio+one DANIEL KANUT amefariki dunia katika hosptali ya taifa muhimbili leo

Poleni sana wafiwa nimefanya naye kazi, najua kill baridi zitamkosa sana sijui na yule mama Lymo trafic atakuwa analiaje.
 
Ni DAMIAN KANUTI na si DANIEL....

Upumzike kwa amani DAMIAN...

Ndiyo huyu atakuwa ni Damian Kanuti kuna wakati alikuwa akiripoti matukio kutoka Dodoma! R.I.P Bro. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA! JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
 
Pleni wapendwa wetu mungu awatie nguvu wakati huu mgumu
bwana ametoa bwana ametwaa
 
Back
Top Bottom