Tatizo la infection katika damu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la infection katika damu

Discussion in 'JF Doctor' started by Mtu Mmoja, Jan 8, 2012.

 1. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wakuu,

  hapa JF Dr kunana uzi huu:

  https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/210330-tonses.html

  Dr Nguruvi3 alikuwa amemjinu mtoa mada kama nilivyoquote hapo chini:

  sasa mheshimiwa Dr. Nguruvi 3 na wengine

  naomba kujua zaidi hapo kwenye
  red.

  nina mtoto wa miaka mitatu sasa na amekuwa akipata joto la mara kwa mara miguuni na kichwani kwa kama mwezi mmoja sasa. daktari kasema ana infection kwenye damu na kifua. amempa sindano za powersif na antibiotics.

  1. ni namna gani nyingine ambazo huenda hiyo infection kwenye damu ilimuingia mwanangu (kumbuka hajawahi kuwa na tatizo la tonsils maishani mwake). na je,

  2. nini kifanyike kuzuia maambuklizi kama hayo kwa siku za usoni? na mwisho, je,

  3. hayo matibabu aliyopewa ni sahihi kwa tatizo lake au niendelee kutafuta utaalam zaidi??

  asanteni sana wakuu


  heri ya mwaka mpya 2012!
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu Dr Nguruvi, ...................njoo utupe shule huku....................
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wakuu, madaktari bado kupita mitaa hii?
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  thanks very much
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nafikiri bado watakuwa kwenye mgomo................ endelea kuvuta subira mkuu...............
   
Loading...