Recent content by Mtu Mbadi

  1. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Rumours zinasema hivo, ngoja tusubiri jumatatu ikifika.
  2. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Hata mimi na Navone wangu kipindi hicho tulidanganyana hivo hivo, baada ya yeye kwenda chuo na mimi kurudi mtaani baada ya chuo mambo hayakuwa mambo.. you better prepare for anything.,
  3. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Haha huu mtaa Bana
  4. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Hapa umewapiga watu kamba hizo kozi watu wanaajiriwa sana Halmashauri na TFS currently.
  5. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wahitimu wa CBG

    Hii sio kweli, nimesoma SUA , rafiki zangu watatu ninao wafaham wamesoma CBG A Level wamepiga, mmoja BVM mwingine Animal Science na wa Mwisho Food science.
  6. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Admin anaetoa mikeka, Perdiem za Nanenane Dodoma zimemnogea katusahau Jobless mpaka nanenane iishe..✍️🚴
  7. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Basi ngoja tuendelee kusubiri, bila kuchoka.
  8. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jumapili huwa wanatoa Pdf kweli
  9. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera Sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema huko uendapo 💯
  10. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Badili password kama wanavosema halafu utuambie kama bado kuna shida, Over!
  11. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kesho watu wanaanza zero week , jipange mwakan
  12. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Saa 16:10 bado bila bila
  13. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Upo sahihi lakini suala la database lipo, mimi nilichokuwa nataka faham ni kama kuna mtu amewahi itwa hata kama ile one year ya database imesha expire..
  14. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mambo kumbe ndivo yalivo.. lakini database naamin ipo kwa kada zote.
  15. Mtu Mbadi

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naam Mkuu.
Back
Top Bottom