Recent content by mtove

  1. mtove

    JamiiForums Tanzania Kisa cha john sanga

    John sanga ,nimecheka sna
  2. mtove

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mtoto pekee kwa baba yako Ben Focus Rabiu Saanane

    Painful
  3. mtove

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mama angu mzazi kule nyamainza misungwi anasema tusimchukie jpm ana kitu kizuri mbele yetu,,anasema tumwombee tu.nami huwa natumia fursa hiyo kuamini na kumwombea
  4. mtove

    JamiiForums Tanzania Aina za makalio ya wanawake wa Bongo

    Lakwako linaitwa paapu huwa linatikisika kidogo pia hupendwa sana na wanaume
  5. mtove

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    Sipendagi ujinga Mimi, mambo ya dini na serikali wapi na wapi,siamini kama mh rais huwa anauliza dini kuwa kigezo
  6. mtove

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ananitaka kimapenzi

    Dhamira yako inasemaje! ?
  7. mtove

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanaume wafupi wanakuwa ni wakorofi.?

    Ufupi ni relative term can you qualify! Kama kuanzia cm kadhaa hadi kadhaa!
  8. mtove

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Mimi ningeuliza kwanini anabana matumizi ilhali hakuna madawa ( msd inaidai haileti dawa vituoni kisa deni? Pia ningeshauri asibane matumizi kwenye masuala ya Afya za wananchi)
  9. mtove

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kinachowachanganya wanaume waonapo mwanamke mwenye makalio makubwa?

    Binafisi napenda sana makalio makubwa,hunitoi hapo mzigo uliofungasha hunitoi kamwe!
  10. mtove

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sitisha mambo yote wekeza kwenye Elimu bora kwanza

    Kupanga ni kuchagua,ila busara na hekima yatakiwa itumike ili kuepuka kuumiza RAIA
  11. mtove

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Vyeti vya mbowe atakuwa navyo tu,kama alisoma na kufaulu sioni kama yeyekuja kuanika vyeti vyake hapa kutaleta tija yeyote,ikionekana viko OK utajidikiaje!mtazamo wangu, tunakosa vitu vya msingi vyenye tija vya kujadili jf.
  12. mtove

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Sayansi na Hisabati tukutane twende kwa Waziri Jaffo kuomba kufundisha sekondari

    Ati Mimi nipo dar! Kwa walioko mikoani ...........! Binafisi huwa sipendi kuita wa mikoani,ukishasema hivyo Mimi huwa sina deal na wewe tena!
  13. mtove

    JamiiForums Tanzania Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    Hour ni awa sio hawa
Back
Top Bottom