Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

1. February ni febyu'ari na wala siyo februari
2. Multiple ni mo'tipo na wala siyo matipo
3. Employee ni implo'ii na wala siyo imployee
4. Suggest ni sag'jest na kamwe siyo sajesti
5. Exaggerate ni igzag'jeret na katu siyo egzajoret
6. Ages ni eijez na wala siyo e'jsi
7. Months ni manthes na wala siyo mansi
 
1. Advertisement-linatamkwa 'Advatizment' na siyo 'Advataizment'
2. Pharaoh-linatamkwa 'Fero' na siyo 'Farao'
3. Answer-'ansa' na siyo 'answa'
4. Hour-'awa' na siyo 'hawa'
N.B Karibuni kwa nyongeza
Kila taifa linatamka kulingana na lafudhi yao ingawa kiingereza ni kile kile. Kuna nchi ambazo hata uwashikie bakora hawataweza kutamka Kiingereza kama inavyotakiwa, Wabongo tunajitahidi sana kwa sababu lafudhi yetu haijaharibu lugha ya Kiingereza
 
1. Advertisement-linatamkwa 'Advatizment' na siyo 'Advataizment'
2. Pharaoh-linatamkwa 'Fero' na siyo 'Farao'
3. Answer-'ansa' na siyo 'answa'
4. Hour-'awa' na siyo 'hawa'
N.B Karibuni kwa nyongeza
Mkuu vip ukiwa unadaiwa unasemaje kwa kiingereza, kwa mfano unataka kusema "ninadaiwa kodi na mwenye nyumba" au unataka kusema "ninamdai Juma pesa zangu"
 
Back
Top Bottom