Ni wakati wa kumchochea Rais Magufuli amuone DC Mnyeti Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufu

Hili liwe fundisho kwa waandishi wa habari makanjanja na wanaonunulika ili kupika habari.

Katika habari ile sikuona comment ya uongozi wa Halmashauri au wilaya juu ya mgogoro huo...zaidi alihojiwa diwani wa chadema tu.

Kwako mleta mada :Tulia mahakama itoe hukumu acha kutafuta public sympathy
 
Yani mtu anaripoti tatizo badala ya kulitatua na kushukuru kwa kukuonesha jambo wewe unamkamata huh!!!!masikini watanzania.
Nyumbu hazai swala kama bosi hataki tatizo liwekwe wazi unategemea nn kwa wajakazi, pengine wanayofanya Ma dc ni maelekezo ya mamlaka ya uteuzi
 
Tena nadha wataamuharakishia uwaziri kamili wa wizara fulan baada ya fulan kutumbuliwa
Ni Kweli Tupu.

- Mapambano Yao Mengi Siku Hizi Yanakwama, Ukawa Tangu Mwaka Jana Wanapambana Na Makonda , Ni Kama Wameshamshindwa

- Wakamjaribu Na Mrisho Gambo, Kilichotokea Kila Mtu Anajua

- Magufuli Sio Kama Kikwete, Ushawishi Wa Ukawa Kwa Magufuli Ni Zero Kabisa
 
Eti wanadai sijui maji... Kazi ya mbunge yuko wapi na aliyoyahaidi katika kampeni zake... sio kumtupia lawama DC wakati inaonekana kuna mchezo nyuma yake.
 
Mbona wa Karagwe hakuondolewa kwa kumweka Makongo ndani, mbona mkurugezi wa Misungwi hakuondolewa kwa kumpigisha deki mwalimu, mbona Gambo anapeta... amwache tu labda ndio sera ya awamu hii.
 
Back
Top Bottom