Recent content by MtotoKautaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania mavazi ya kike yananivutia sana.

    MUNGU WANGU
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    🤣🤣🤣 Duh akili ni mali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    Kuwahadaa na kuwapumbaza WATANZANIA haihitaji usomee maPHd 🤣🤣
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi njooni mchukue watoto wenu!

    Huyu jamaa ni mshamba. Mimi nimesoma skul madisco kila mwezi na ukiacha kubambia dem unalambwa viboko na tulikuwa tunabutua class kama kawaida mbona kawaida sana hiyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    SISIEM NI TAASISI KUBWA INAYOTUMIA KILA MBINU KUHAKIKISHA INAKUWA SAFI MUDA WOTE. KWANZIA NCHIMBI NA HAO WOTE WA NAMNA YAKE VYOTE HIVO VIPO SCRIPTED NA NI MBINU NZURI NA KALI SANA KUTOKANA NA NATURE YA WATANZANIA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Omba Mungu usifike huku

    Pole na hongera sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Omba Mungu usifike huku

    Wakufanya kama hivi simuoni....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simu Inauzwa

    190k hupat mteja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu sio mwanao usimfokee, kama umechoka sepa! – Maneno ya singo mama

    Anashindwa vipi kuachana naye?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Duh umekula kaka angalia bia zisikuuwe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama mwenyenyumba anataka niichape ili nimpe laki 1 ana shida nayo

    Thread ingesomeka malaya ambaye ndo mwenye nyumba wangu anahitaji nimpe laki moja niichape
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

    Kipaji pekeake hakitoshi kukufanya uwe mtu exceptional, goat kwangu ni mtu special anakipaji halafu ana bidii sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

    Utofaauti wa Goat na huyu mtoto ni kwamba GoAt anakufanya uamini kwamba kwenye mpira hakuna kitu kisichowezekana na unapoona kugumu yeye anafaulu na haumfanyi chochote
Back
Top Bottom