Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 318
- 839
😂😂😂Kwanini ulipokea rushwaIla Mbupu zinauma sana aisee.
😂😂😂Kwanini ulipokea rushwaIla Mbupu zinauma sana aisee.
Kuna muda cashout ilisoma 9.8M just after second goal. Almanusra nicash out, lakini nikasema no potelea mbali. Dakika ya 30 mzigo umepungua mpaka 5M, nikaendelea kubana Mbupu. Hatimaye kanji kalia vilivyo.😂😂😂Kwanini ulipokea rushwa
Hongea wanatumia utaratibu gani kukulipa? Unavuta kidogokidogo au unawatumia namba ya accountKuna muda cashout ilisoma 9.8M just after second goal. Almanusra nicash out, lakini nikasema no potelea mbali. Dakika ya 30 mzigo umepungua mpaka 5M, nikaendelea kubana Mbupu. Hatimaye kanji kalia vilivyo.
Nilikuahidi. Unanidai.Bro limeisha hili tusubiri milionea aje
Mkumbushe asisahau ya kutoleaNshamuinbox namba ya kupokelea na jina nmemwambia linakuja Eve
bro Evelyn Salt hebu njoo huku upokee chako unigawie asee,, we sikuachi 😅😅Nilikuahidi. Unanidai.
Duh umekula kaka angalia bia zisikuuweView attachment 3612634Canada, Brazil, Spain to score three goals first half imetick. Bado Portugal. Nishaurini wawekezaji.
Manaake iyo pesa Hadi amallize kutoa yute awe anatoa milioni Tano kwa Kila siku kwa siku4 ili wasivurugane..Hapo ili usivurugane nao,uwe unatoa kidogo dogo .
Lasivyo utajikuta wanakuomba uthibitisho wa account na issue nyingine nyingi.
Mkuu nilikusaidia ku cover mwishowe nimeliwa mimi,Ila Mbupu zinauma sana aisee.
Nimekusoma mkuu.Manaake iyo pesa Hadi amallize kutoa yute awe anatoa milioni Tano kwa Kila siku kwa siku4 ili wasivurugane..
Labda wazoefu waongezee nyama
Ndugu yangu alilima nyanya heka 3 na kantangaze akamchapa vilivyo hakupata hata tanga 5 akaenda kulima ufuta nako alizika pesa zote kwahiyo maisha ni kamari tuloose Nut mikeka 18 yote Jehanam .
Achana na kamari wewe.