Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000

Rajuubai !
Kudadeki!
Muhindi kakushika Makende nde nde nde nde.

View: https://youtu.be/Vj4kq8xqLLM?si=HTbJ02psccphSI-g

POLE.

Direct_ConvertGif_1781184582735-1.gif
 
Ni kweli maponjoro ndo mitaji ya matajiri wengi

Kwa waliosoma Finance, Accounting na Business administration, watakubaliana na mimi kwamba; wahindi ndio walioandika vitabu vingi sana vya kufundishia kwenye biashara, usimamizi na fedha.
Utaona makampuni makubwa ulaya na marekani, managers, CEO's wao ni wahindi. Kanuni ya muhindi ni moja tuu toka enzi na enzi;

Pata faida ndogo, kwa watu wengi kwa kununua kidogo kidogo, kwa muda mfupi
😊
 
Aaaah kubeti ni ussenger kmmk. Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.

Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Weka hapa huo mkeka
 
Pole sana ndugu yangu
 
Kuna watu hapa wanavunga wao ni vipanga eti hawangeweza kustake mkwanja kwa Spain. Acheni uongo, onyesheni mikeka mliyompa Cape Verde win au draw. Matokeo yakitoka ndo mnaleta u-kipanga.
 
Aaaah kubeti ni ussenger kmmk. Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.

Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom