ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,595
- 59,935
Wanaume tumekuwa wambea sana siku hizi mtu unashindwa ku deal na mambo yako unaanza kujifanya unaonea wanaume wengine huruma
sahihi, mimi pia nishapigishwa sana gwaride jijini daslam, miyeyusho sana.Na maboss wanaroho ngumu sana cause utaona yake yanamuendea ila mfanyakazi huna hata ile yakwenda kazini. Unapiga mizinga uende kazini ila hamna unachoingiza na issue ya kutoka hapo ulipo upate mishe nyingine ndo balaa zaidi so ni kama unakuwa umekwama tu sehemu. Inahitaji ujasiri mkubwa kama hao jamaa walioamua kuacha kazi wakati michongo haijakaa sawa. Nadhani hajawakurupuka uamuzi wao labda wameshashauriana na wenza wao tayari ndo wakafanya maamuzi. Mda mwingine inatokeaga ukiacha kazi sehem ndo unapata kazi nyingine tena kwa haraka tu kuliko uking'ng'ana kutumikishwa bila malipo.
Yeah, nimeona jamaa watakuwa wanachambua Kombe la dunia. Yawezekana wamekula shavu la moja kwa moja.Walio tangazwa Azam na dstv kwa ajili ya kombe la dunia ni kina nani?
Ulikumbuka kumeza dawa?Kwahiyo ulitaka tukopi Taarifa kutoka katika sehemu yako ya kutolea Haja Kubwa au? Idiot.
Sasa jamaa mbona ana chamba umbeya, mmoja ni mwana hapo na alisema deal done.Yeah, nimeona jamaa watakuwa wanachambua Kombe la dunia. Yawezekana wamekula shavu la moja kwa moja.
Endeleeni tu kumpoteza maboya Mumewe George Ambangile kwa haya maneno yenu ya Kinafiki kisha aje Kulia baadae.Mke wa Ambagile kwao hakuna njaa kabisa.
sio jambo la kawaida. Acheni ku normalize vitu ambavyo haviko sawa.Kutokulipwa mshahara kwa wakati nijambo la kawaida sana tatizo wamekariri kazi moja kwenda kulima wanaona ni aibu yaani yuko radhi akatangaze hata radio mbao ila sio kubadirisha kazi zero brain
kwahyo nikikuoa alafu kazini nisilipwe, kama kwenu mpo vizuri ndo nini yaani? Una tegemea watatusaidia living cost? Kuna vitu kukubaliana navyo inabidi kwanza uanaume wako uweze kuuweka pembeni. its a very traumatizing experience living off your wakwe's pocketMke wa Ambagile kwao hakuna njaa kabisa.
George anayo kazi ana beti ni ambasador wa Betway plus akifanya vipodikasiti kadhaa anaweza kupata hapa na pale.Zitafute Mkuu zipo sana tu Mitandaoni hasa zile wakati wanafunga nao Ndoa. Hakuna rangi wataacha kuona hawa Vijana wawili kwani kwa aina za Wake zao walionao ni wale ambao wanahitaji sana Kuhudumiwa na Kula Bata sasa Mabwana zao sasa hawana Kazi hivyo najua Watachapika na Watachapiwa sana tu na Wajuba.
Siyo jambo la kawaida ni unyonyaji mkubwa sana usiotakiwa kuvumiliwa na yoyoteKutokulipwa mshahara kwa wakati nijambo la kawaida sana tatizo wamekariri kazi moja kwenda kulima wanaona ni aibu yaani yuko radhi akatangaze hata radio mbao ila sio kubadirisha kazi zero brain
Mishahara kidogo matumizi makubwaAliyekuwa Mtangazaji wa Wasafi Media Diva kaamua Kufunguka makubwa
Mimi siyo wakwanza kuacha kazi Wasafi Kisa Mishahara ni wengi pia wanao lalamika lakini ndo hivyo hawana pakwenda.Huyo Aaliya wiki iliyo pita Kaomba kazi Crown Fm Kwa Alikiba na hiyo yote ni kutokana na njaa, ni video nyingi za watangazaji wa hapo Wana omba pesa za nauli kurudia nyumbani Kwa sababu Mishahara haitoki.
Kuna wengine hapo Wanadai Mishahara ya miezi Saba.George Ambangile na Ahmed Abdallah wameacha kazi kisa Mishahara, wameona Wana pata majina makubwa lakini mfukoni hamna kitu wakaona ni Bora waishi bila kazi kuliko Kila siku unaaga unaenda kazini halafu hakuna unacho kiingiza.
Chanzo Taarifa: Miss Platnumz
Vijana mnaoingia katika Fani hii Sisi Wabobezi na Kaka zenu tukiwa tunawaonya juu ya Media Houses za Tanzania muwe mnatuelewa tafadhali. Tatizo lenu huwa mnapenda Umaarufu wa haraka kwa Watu kwa Kudanganywa na Mikataba Minono Hewa na hawa Wamiliki wa Media.
Halafu kama kuna Kosa kubwa la Kiufundi mmelifanya ni kukimbilia kuacha Kazi wakati bado hamjapata Kazi mpya. Watu wenye Akili huwa hawafanyi hivi bali mlitakiwa muendelee Kuvumilia Msoto wa Wasafi Media huku taratibu mkitafuta Kwingineko. Nawahurumia hamna Kazi sasa huku mkiwa na Wake zenu Warembo hasa.
🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Miss Platinumz ndo chanzo cha kuaminika hadi waandishi wakongwe mnacopy kutoka kwake?
Sasa kuacha kazi wasaf kabla hawajapata kazi kunatofauti gani na endapo wangepata kazi kwanza ndiopo wakaacha wasafi wakati hata wasafi penyew hawalipwi mishahara sasa mtu asiyelipwa mshahara na kila siku anaitumia nauli au gharama za mafuta kwenda kazini si ni Bora na jobless aliyetulia homeAliyekuwa Mtangazaji wa Wasafi Media Diva kaamua Kufunguka makubwa
Mimi siyo wakwanza kuacha kazi Wasafi Kisa Mishahara ni wengi pia wanao lalamika lakini ndo hivyo hawana pakwenda.Huyo Aaliya wiki iliyo pita Kaomba kazi Crown Fm Kwa Alikiba na hiyo yote ni kutokana na njaa, ni video nyingi za watangazaji wa hapo Wana omba pesa za nauli kurudia nyumbani Kwa sababu Mishahara haitoki.
Kuna wengine hapo Wanadai Mishahara ya miezi Saba.George Ambangile na Ahmed Abdallah wameacha kazi kisa Mishahara, wameona Wana pata majina makubwa lakini mfukoni hamna kitu wakaona ni Bora waishi bila kazi kuliko Kila siku unaaga unaenda kazini halafu hakuna unacho kiingiza.
Chanzo Taarifa: Miss Platnumz
Vijana mnaoingia katika Fani hii Sisi Wabobezi na Kaka zenu tukiwa tunawaonya juu ya Media Houses za Tanzania muwe mnatuelewa tafadhali. Tatizo lenu huwa mnapenda Umaarufu wa haraka kwa Watu kwa Kudanganywa na Mikataba Minono Hewa na hawa Wamiliki wa Media.
Halafu kama kuna Kosa kubwa la Kiufundi mmelifanya ni kukimbilia kuacha Kazi wakati bado hamjapata Kazi mpya. Watu wenye Akili huwa hawafanyi hivi bali mlitakiwa muendelee Kuvumilia Msoto wa Wasafi Media huku taratibu mkitafuta Kwingineko. Nawahurumia hamna Kazi sasa huku mkiwa na Wake zenu Warembo hasa.
Mke.wq.ahmed n mfanyakaz azam media.Mke wa Ambangile ni mchapakazi anaona anajituma sana na anakula sana deals za matangazo kwahyo haitakuwa shida sana kwake. Huyo mwingine nisimwongelee maana hata simjui.
Mimi huruma yangu ni kwa Wake zao tu ambao kiukweli ni Warembo na kama huna Hela ni lazima tu Utachapiwa mno.
Inasikitisha nini wee kenge?Inasikitisha sana
Hata Ambangile mwenyewe kwao hawana njaa halafu mtu anakwambia eti hakuna mwanamke watakayevumilia mwanaume hana kazi.Mke wa Ambagile kwao hakuna njaa kabisa.