Recent content by Mtoto wawatu

  1. Mtoto wawatu

    Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Yaani mtu anaungua wanamuangalia tuu' mpaka alipoanza kujigeuza... Wapumbavu ni wengi sana hii nchi
  2. Mtoto wawatu

    Msaada: Amechaguliwa HGL lakini anataka kwenda chuo

    Asante kwa ushauri mkuu' namba tatu nadhani itamfaa... Ni dogo[emoji4]
  3. Mtoto wawatu

    Msaada: Amechaguliwa HGL lakini anataka kwenda chuo

    Habari wakuu, dogo ana div 1 alisoma arts na biology ambayo alipata B maths C Geo C , history A, Eng A, mengine B Msaada pls amechaguliwa kwenda Tabora girls HGL lakini maono yake ni kwenda chuo! Naomba Mawazo yenu tafadhali kwaufaulu wake ni chuo na kozi ipi aombe.
  4. Mtoto wawatu

    INAUZWA Beach hat pambee zinauzwa

    Tsh 25000 tu, Hat wear zakibabe Material poa sana Wasiliana nasi 0626833971 Tunapatikana Mwanza na Dar
  5. Mtoto wawatu

    Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Hizi gari mpya zipo poa sana...
  6. Mtoto wawatu

    Catapila Sendoz kwaJumla narejareja

    Size 40,41,42,43,44,45 Quality poa sana Tunapatikana Dar free market Mikoani tunatuma Delivery ipoo Tsh 80,000 kwapeamoja.. ...call/wasap #0626833971
  7. Mtoto wawatu

    Natafuta hiki kifaa

    Inaitwa water filter' bei inategemea naubora zinaanzia kati ya 10,000 hadi 50,000 huko.... Marayamwisho niliziona little more...
  8. Mtoto wawatu

    INAUZWA Kapeti manyoya bei ya kutupa 6x9. 80k only

    Yeah china iyo nyepesi flan hv tunaziuza sana
  9. Mtoto wawatu

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ndugu mwasalemba tufufulie lile group tena tafadhali.... lilikuwa namanufaa sana..
  10. Mtoto wawatu

    Huzuni: Jini aondosha uhai wa dereva Bodaboda

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. Mtoto wawatu

    Ni wiki sasa kila nikiweka sponsor kwenye page ya Insta inakataa

    Ni wiki sasa kila nikiweka sponsor kwenye page ya insta inakataa' inajibu hivi. Nini kifanyike? Pia page ya fb inakataa kuconnect na ya insta..
  12. Mtoto wawatu

    Natafuta kiwanda kinachotoa ngozi za karanga mbichi

    Karibu tukuagizie mashine yako boss... Bei rafiki sana
  13. Mtoto wawatu

    Series (Special thread)

    Nikimaliza kudownload, Inakataa kufungua mkuu" Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom